Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sababu wewe ni mtu wa hovyo usiejielewa. Kazi yenu ni kuimba mapambio tu
 
Kwa sababu wewe ni mtu wa hovyo usiejielewa. Kazi yenu ni kuimba mapambio tu
Wewe ndiye unayejielewa kuwa huko nje kuna wajomba wa kuuzuia uchaguzi wa kikatiba.....haya endelea kuota ,sawa ?!!
 
Tundu ni tatizo
 
Wewe ndiye unayejielewa kuwa huko nje kuna wajomba wa kuuzuia uchaguzi wa kikatiba.....haya endelea kuota ,sawa ?!!
Mambo ya hovyo yanafanyika basi kuweni watarabu mkae na wenzenu muione Haki hamtaki wakitafuta solution nje ya nchi hamtaki? Mnataka nini? Mfano hiyo time ya uchaguzi ni huru Kwa Akili zako hizo za kuvukia barabara?
 
Wanachadema wengi huku mitaani sio wapiga kura. Hawajajiandikisha na waliojiandikisha hawapigi kura. Chadema ijikite pia katika kuwaelimisha wanachama wake maana ya kupiga kura.
 
Tundu ni tatizo
....ni tatizo kubwa ,hafai huyo jamaa...nina marafiki zangu wanatoka kijiji kimoja ,haki ya Mungu wanasema Tundu Lissu na familia yao hapo KIJIJINI wanajulikana kwa MATATIZO....yako ndani sana damuni mishipani.....
 
Mambo ya hovyo yanafanyika basi kuweni watarabu mkae na wenzenu muione Haki hamtaki wakitafuta solution nje ya nchi hamtaki? Mnataka nini? Mfano hiyo time ya uchaguzi ni huru Kwa Akili zako hizo za kuvukia barabara?
Uachage uzwazwa....uchaguzi ni kila baada ya miaka 5....unaongelea TIME gani ndugu ?!!
Uchaguzi ni takwa la kisheria ,takwa hilo liongelewe leo hii ?!!

Nchi haina machafuko ,haina vita ,hakuna ULTIMATUM ,mnaburuzwaje kijingajinga ?!

#Nje hakuna wajomba!
 
Waanzie kwa yule Mzee mwenye weledi uliotukuka,asiye penda ujinga wala upumbavu.Halafu wakamsalimie Mzee wa St.Pertusberg a.k a Mr Moskovistch Putin.
 
Wanachadema wengi huku mitaani sio wapiga kura. Hawajajiandikisha na waliojiandikisha hawapigi kura. Chadema ijikite pia katika kuwaelimisha wanachama wake maana ya kupiga kura.
...watapigiwa kura na wa huko nje wanakokwenda....

Chadema haina dira....
 
Safi sana ikiwa ni njia itakayosaidia, why not?
 
CCM haijawahi kuwa na mgombea DHAIFU....haijawahi....ni mindset yako tu....

Mgombea dhaifu kwa kuwa ni MWANAMKE ,si ndio ee wewe MISOGYNYIST ?!!
Mgombea anayejiteua hana hata uhakika wa kuteuliwa na wenzake🤣🤣
 
No reform no election . Niliwahi kusema hapa kuwa hii ni Ngoma ya chadema ambayo ccm wanaicheza pasipokujua beat na wimbo unamaanisha Nini.
Uzuri Lissu na Team Yake sio wachumia tumbo wanaotamani kwenda kwenye uchaguzi huki wakijua wagombea wao watatekwa siku ya kuchukua form, kupiga risasi siku ya uchaguzi.

The last resort ane hard one, is no reform no elelection
 
Anza kutafakari mazungumzo ya Mwakilishi wa US na Wassira yaliyofanyika recently!
 
Attachments

  • download (3).jpeg
    9 KB · Views: 2
Mgombea anayejiteua hana hata uhakika wa kuteuliwa na wenzake🤣🤣
....mgombea ni mzalendo mno wa MUUNGANO wa Tanzania na tunu zake....kila mwenye kutaka mwendelezo wa Muungano ulivyo ndiye AFAAYE....kuna wajinga wengi tu nje na ndani ya CCM.....

#Think thrice !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…