Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila atamkapo neno nje ya nchi huwa ninazidi kumdharau ndugu Tundu Lissu......

Kwanini ninamdharau ?!!

Nje nje nje nje nje....

Boss wa huko nje ni mh.Rais Trump ambaye watu wa "nje" huko ULAYA hana mpango nao.....

"Nje" ya EU mh.Trump si lengo lake zaidi ya masuala mtambuka ya nchi yake....

Anashirikiana na Urusi ambayo ni adui wa EU na Brussels marafiki zake mh.Tundu Lissu....

Mh.Tundu Lissu aache ukale ,haumsaidii.....
Yeye na wenzake akina Robert Amsterdam walilobby wabunge wa CDU pale bungeni Bundestag ili waisukume serikali yao ya Ujerumani iishinikize Tanzania isitishe mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme pale Rufiji.....

Yakawa matokeo hasi....

Leo hii tunakaribia kuwa na megawati 2215 kuingizwa gridi ya taifa.....

Ndugu Tundu Lissu aache "ushamba" ,chambilecho hayati JPM(resty easy) nje HATUNA WAJOMBA......

#Mwenyezi Mungu amhifadhi na kumlinda rais wetu mh.Samia Suluhu Hassan ,aaamin aaamin aaaaamin!

#Tanzania is a sovereign nation!
Kwa sababu wewe ni mtu wa hovyo usiejielewa. Kazi yenu ni kuimba mapambio tu
 
Tundu ni tatizo
 
Wewe ndiye unayejielewa kuwa huko nje kuna wajomba wa kuuzuia uchaguzi wa kikatiba.....haya endelea kuota ,sawa ?!!
Mambo ya hovyo yanafanyika basi kuweni watarabu mkae na wenzenu muione Haki hamtaki wakitafuta solution nje ya nchi hamtaki? Mnataka nini? Mfano hiyo time ya uchaguzi ni huru Kwa Akili zako hizo za kuvukia barabara?
 
Wanachadema wengi huku mitaani sio wapiga kura. Hawajajiandikisha na waliojiandikisha hawapigi kura. Chadema ijikite pia katika kuwaelimisha wanachama wake maana ya kupiga kura.
 
Tundu ni tatizo
....ni tatizo kubwa ,hafai huyo jamaa...nina marafiki zangu wanatoka kijiji kimoja ,haki ya Mungu wanasema Tundu Lissu na familia yao hapo KIJIJINI wanajulikana kwa MATATIZO....yako ndani sana damuni mishipani.....
 
Mambo ya hovyo yanafanyika basi kuweni watarabu mkae na wenzenu muione Haki hamtaki wakitafuta solution nje ya nchi hamtaki? Mnataka nini? Mfano hiyo time ya uchaguzi ni huru Kwa Akili zako hizo za kuvukia barabara?
Uachage uzwazwa....uchaguzi ni kila baada ya miaka 5....unaongelea TIME gani ndugu ?!!
Uchaguzi ni takwa la kisheria ,takwa hilo liongelewe leo hii ?!!

Nchi haina machafuko ,haina vita ,hakuna ULTIMATUM ,mnaburuzwaje kijingajinga ?!

#Nje hakuna wajomba!
 
Wakuu,

Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani

Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa

===================================================

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema yeye na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wanatarajia kupeleka ajenda ya no reform, no election hadi nje ya nchi.

Akizungumza na wanachama wa chama hicho wa Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha leo Heche amesema tayari chama hicho kimewashirikisha wadau mbalimbali kuhusu ajenda hiyo na kwamba wataipeleka mbali zaidi.

“Ajenda yetu no reform, no election inazungumzika hata kama wanaizungumzia negatively (kwa mtazamo hasi) lakini wanazungumza ajenda ya CHADEMA, tumetoka na ajenda hiyo ndiyo kila siku Wasira anaimba na leo ndio Makala alikuwa anaizungumza” amesema Heche.

“Sisi ni watu tunatumia brain (akili) tume engage (kushirikisha) tumeandika mapungufu 16 ya uchaguzi ambayo hayamuwezeshi mpinzani yoyote kushinda uchaguzi, nani miongoni mwenu anaweza kusema kwamba anaweza kushinda uchaguzi kwa utaratibu huu tulionao?” amehoji Heche

Source: Nipashe
Waanzie kwa yule Mzee mwenye weledi uliotukuka,asiye penda ujinga wala upumbavu.Halafu wakamsalimie Mzee wa St.Pertusberg a.k a Mr Moskovistch Putin.
 
Wanachadema wengi huku mitaani sio wapiga kura. Hawajajiandikisha na waliojiandikisha hawapigi kura. Chadema ijikite pia katika kuwaelimisha wanachama wake maana ya kupiga kura.
...watapigiwa kura na wa huko nje wanakokwenda....

Chadema haina dira....
 
Wakuu,

Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani

Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa

===================================================

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema yeye na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wanatarajia kupeleka ajenda ya no reform, no election hadi nje ya nchi.

Akizungumza na wanachama wa chama hicho wa Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha leo Heche amesema tayari chama hicho kimewashirikisha wadau mbalimbali kuhusu ajenda hiyo na kwamba wataipeleka mbali zaidi.

“Ajenda yetu no reform, no election inazungumzika hata kama wanaizungumzia negatively (kwa mtazamo hasi) lakini wanazungumza ajenda ya CHADEMA, tumetoka na ajenda hiyo ndiyo kila siku Wasira anaimba na leo ndio Makala alikuwa anaizungumza” amesema Heche.

“Sisi ni watu tunatumia brain (akili) tume engage (kushirikisha) tumeandika mapungufu 16 ya uchaguzi ambayo hayamuwezeshi mpinzani yoyote kushinda uchaguzi, nani miongoni mwenu anaweza kusema kwamba anaweza kushinda uchaguzi kwa utaratibu huu tulionao?” amehoji Heche

Source: Nipashe
Safi sana ikiwa ni njia itakayosaidia, why not?
 
CCM haijawahi kuwa na mgombea DHAIFU....haijawahi....ni mindset yako tu....

Mgombea dhaifu kwa kuwa ni MWANAMKE ,si ndio ee wewe MISOGYNYIST ?!!
Mgombea anayejiteua hana hata uhakika wa kuteuliwa na wenzake🤣🤣
 
No reform no election . Niliwahi kusema hapa kuwa hii ni Ngoma ya chadema ambayo ccm wanaicheza pasipokujua beat na wimbo unamaanisha Nini.
Uzuri Lissu na Team Yake sio wachumia tumbo wanaotamani kwenda kwenye uchaguzi huki wakijua wagombea wao watatekwa siku ya kuchukua form, kupiga risasi siku ya uchaguzi.

The last resort ane hard one, is no reform no elelection
 
Anza kutafakari mazungumzo ya Mwakilishi wa US na Wassira yaliyofanyika recently!
 
Attachments

  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    9 KB · Views: 2
Mgombea anayejiteua hana hata uhakika wa kuteuliwa na wenzake🤣🤣
....mgombea ni mzalendo mno wa MUUNGANO wa Tanzania na tunu zake....kila mwenye kutaka mwendelezo wa Muungano ulivyo ndiye AFAAYE....kuna wajinga wengi tu nje na ndani ya CCM.....

#Think thrice !
 
Back
Top Bottom