Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenye nchi wapo Ndani.., Kama ni Kushitaki mashitaka yenu peleka kwa watu, kama hawawaelewi fanyeni hima waweze kuwaelewa..

Huko nje hakuna maana ishakuwa uwanja wa fujo..., Tena kwa wanaoharibu huko bora wao wangeanza kuja hata huku kujishitaki kwa madhambi waliyokuwa wanafanya na sasa hivi wameanza kuyafanya hata bila kificho...
 
Suluhu ya KONGO itamalizwa na WAKONGOMANI wenyewe....umeona jinsi wanapoelekea ?!!!

Vikao vingapi havijasaidia?!!

Nje hakuna wajomba....
 
Wazungu wenyewe wanakwaruana, watawajali blacks?
Labda nje ya mipaka yetu kwa majirani Waafrika wenzetu

Lakini wazungu wao ni maslahi tu na hawawezi kufuata wengine wakati hawana ugomvi na waliopo.
Mzungu ukija kwao atakupa nyumba, posho, matibabu na Elimu
Ila ukosema unataka mabadiliko atakudharau na bla bla nyingi
Hawa wazungu ni wanafiki wa hali ya juu na sio wa kuwategemea kabisa na wajua kuteta
Kina mama wakalale
 
Trump lazima aingilie kati! Kitaeleweka tu.
 
Ha ha ha tuna mpango wetu pia !!Hatujiandikishi kupiga kura,hatutapiga kura na atakaye panga mstari kupiga kura lazima damu imetoke puani subiri utaona.Tumechoka
Karibu sana mkuu

Keyboard warriors watamu sana

Huwa walainiiii
 
Aibuuu, aibu yao hao mashoga. Baba wa Taifa afufuke ombi mahsusi.
 
Ona bwege hii..Hii mijitu mijinga mijinga ndio unafanya Taifa linabaki kuwa ombaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…