900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Lissu Mungu anamakusudi naye katika taifa hili la TanzaniaLisu hawezekaniki.....kama Magu mwenyewe alimshindwa nani atakaemuweza huyu jamaa???!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu Mungu anamakusudi naye katika taifa hili la TanzaniaLisu hawezekaniki.....kama Magu mwenyewe alimshindwa nani atakaemuweza huyu jamaa???!!!
PGO ya ngapi hiyoDhamana hutolewa siku zisizokua za wikendi,namna gani pale kwa TAL?
Mkuu Lipijema,Habari ndiyo hiyo, wajeshi nao yasemekana wanataka ukweli kuhusu bandari kwani ni jukumu lao kulinda mipaka.
Dhamana ni siku yoyote na muda wowote wa kazi.Kumbe Jumapili ni siku ya kazi?![emoji2]
Kutukana serikali? Yaani kuwatetea Wamasai wasionewe ni kutukana?Aendelee kutukana serikali sasa natumaini onyo amelipokea.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wanaonewa na nani wewe siasa uchwara zinawafanya mnakuwa vipofu wamasai waliohamishwa wapo zao handeni kimya nyie wanasiasa uchwara kwa maslahi yenu mnaenda kuleta ushabiki. Shenzi sanaKutukana serikali? Yaani kuwatetea Wamasai wasionewe ni kutukana?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app