Wewe punguwani Rudi shuleUnafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe punguwani Rudi shuleUnafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Shujaa kwako kwangu puuzi tu¹1Kwanini CCM wanaingia kwenye Mitego ya Lissu kiulaini namna hii?
Huu mtego wa kumkamata shujaa hawakuuona kabisa pamoja na ma PhD yao kibao.
AsiyejitambuaUnafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio kichwani tu ,walishamtobia koteee!Huyo dada yupo wazi kichwani
Polisi hawana week end Siku zote na muda wote wako mzigoni.Kumbe dhamana hata weekend unapata!? Police vueni gwanda mpande jukwaani Kama mnataka kuwa wanaSiasa
Amini kabisa 😁 maana hanaga akili anawashwa hovyo chiniSio kichwani tu ,walishamtobia koteee!
Ilikuwa zamani asa ivi hata usiku wa manane unadhamini mtuDhamana hutolewa siku zisizokua za wikendi,namna gani pale kwa TAL?
Kama polisi hawajui PGO unategemea niniLissu anataka awe anatoa directions kwa jeshi la polisi huu upuuzi aupeleke huko huko kwao ubelgiji.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sheria haisemi polisi watoe kibali ,bali sheria inasema unatoa taarifa polisi ili watoe ulinzi sasa ukitoa taarifa na wasije hilo si jukumu lako wewe endelea na ratiba zakoUnafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio kibali...Unafanyeje mikutano ya HADHARA bila ya kibali cha polisi ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
TL ni wakili wa aina gani ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
CCM inazidi kufa.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Mwandishi wa Habari kutoka Jambo TV, Oscar Kasubi aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo naye ameachiwa usiku huu.
View attachment 2745589
===[/B]
Pia soma:
Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Jeshi la Polisi: Tunamshikilia Tundu Lissu kwa kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia Polisi kufanya kazi yake
Jeshi gani? Hili la kujenga Taifa au la Iraq? Wanajeshi wanajitambua bana sio wajinga wajinga kama nyie ChademaHabari ndiyo hiyo, wajeshi nao yasemekana wanataka ukweli kuhusu bandari kwani ni jukumu lao kulinda mipaka.
Wanampotezea muda tu.Mtu yupo hotelini chumbani kwake huo mkusanyiko ulikuaje!?mbona kama atawashinda mapema sana mahakamani,kwann hamkusubiria atoke nje!?
Kuna muda jeshi letu huwa silielewi
Kabisa!
Samia Tanganyika haiwezi.... aende tu kwao Oman.
policccm waliufanyia ushauriwangu kwamba ucku wa jana wasilale wajifungie ndani kupitia PGO sasa inaonekana wamegundua imekula kwao bora wawaache tuHabari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X.
-