Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
P
Polisi bongo wengi ni vilazaPolice wanataka kutupanda kichwani, nchi ipo na matatizo mengi ya kusolve ila unashangaa katika mambo ya kijinga inatumika rasilimary mda , pesa utafiki wegner group, ambao hawajui changamoto zinazolikabili taifa, mfano leo kwa nguvu nyingi iliyotumiwa ni pesa ngapi zimeenda kwa nchi maskin kama hii?
Haya sasa hao hao wamepatikana na wengine waliokamatwa wako wapi , na jumla wangapi na ambao bado wangapi? Lazima kujua
Na vipi ikijulikana idadi ya waliokamatwa na waliorejeshwa idadi haishabiani mtawatoa wapi? na wakianza daiwa kama ikatokea ipo hivyo?
Hizi kazi ni dhamana siku kinauma kwa mfano wengine waliokupa maagizo wanakaa pembeni, unaburuzwa ICC na ina kula kwako , unaacha familia na watoto, tukisema mwaona tunawachukia
Mfano leo vipi ikasemekana waliokamatwa ni watu elf mbili nyie mnakuja na watu miambili , na watu wakaja na ushahidi wa watu wao , IGP utaiambia nini dunia ,siombei itokee
Tukisema kufanya kazi kwa mjibu wa sheria ndo hii huwa tunamanisha , ila huwa hamuelewi, taratibu za ukamataji si upo , why vamia mtu kama jambazi , je PGO inasema hivyo
Nimemaliza,