Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine ikishavuka ijumaa hamna dhamana. Imekuwaje kwa TAL na wenzake?Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Police na Hospitals zinatakiwa kutinga 24/7, yale masharti ya leo weekend hua ni mbwembwe tuKumbe dhamana hata weekend unapata!? Police vueni gwanda mpande jukwaani Kama mnataka kuwa wanaSiasa
Mambo yalishabadilika; Acha uvivu wa kujisomea uende na wakatiWengine ikishavuka ijumaa hamna dhamana. Imekuwaje kwa TAL na wenzake?
Sawa mkuuMambo yalishabadilika; Acha uvivu wa kujisomea uende na wakati
Chekbob la kanda ya Kaskazini bado limegoma kabisa kuibuka 🤓🤣
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Du jamaa wanafanya kazi jumapili, Lissu anawafanyisha kazi mpaka leoHabari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X.
Na hii ni lini
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Mwandishi wa Habari kutoka Jambo TV, Oscar Kasubi aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo naye ameachiwa usiku huu.
Yes watu wamejua pia kwamba jamaa hashauriki na hasikilizi mtu.Kitu hawajui ni kwamba kuwakamata ni kuwaongezea umaarufu na mwendo, kuna watu walikua hawajui kama yuko ngorongoro lakini baada kukamatwa wamejua, wamewapa na topic nyingine ya kusimanga "Siri kali ya bi kidude"
Good news!.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Mwandishi wa Habari kutoka Jambo TV, Oscar Kasubi aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo naye ameachiwa usiku huu.
Alitabiri pia kiongozi mwenyewe ni mwehu?Kweli unabii wa Ian Ndlovu kuhusu kukamatwa kwa prominent leader atakayetoka nje ya nchi imetimia. Alitabiri mwaka jana wakati hali ikiwa shwari kabisa ya maridhiano.