OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jaribu kufanya ujinga ijumaa uwekwe ndani halafu utumie hiyo sheria uone kama utatokaSheria ya dhamana haina weekend Mafisango Boban Shindika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kufanya ujinga ijumaa uwekwe ndani halafu utumie hiyo sheria uone kama utatokaSheria ya dhamana haina weekend Mafisango Boban Shindika
Hilo la uwehu sijasikia.Alitabiri pia kiongozi mwenyewe ni mwehu?
😄😄Wamekumbuka machungu ya PGOWameogopa kupewa shule ya sheria[emoji38][emoji38]
Dhamana ni siku yoyoteDhamana hutolewa siku zisizokua za wikendi,namna gani pale kwa TAL?
Kama mliyemwiya Jiwe aka Kamongo 2020 alitepetq vile huyu ataweza hata mikutano miwili ya kampeni kwa siku kweli?Samia amechoka yuko hoi
Ndio ,na ametabiri atamla Sunna Bibi kizee mmoja wa Jf !Alitabiri pia kiongozi mwenyewe ni mwehu?
Ndo kawapa direction wakamtoa siku ya JumapiliLissu anataka awe anatoa directions kwa jeshi la polisi huu upuuzi aupeleke huko huko kwao ubelgiji.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wameshakula perdiems za miccm wakaona wawaachie huruWengine ikishavuka ijumaa hamna dhamana. Imekuwaje kwa TAL na wenzake?
Alitabiri pia kiongozi mwenyewe ni mwehu?
Huyo atakua alirudishiwa ubongo wakeHii kauli inatoka kwako ndugu, au kuna mtu ame-hack akaunti yako? Ama kweli shetani akizeeka anakuwa malaika
Si ulisema auwawe?Lissu anataka awe anatoa directions kwa jeshi la polisi huu upuuzi aupeleke huko huko kwao ubelgiji.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Police wanataka kutupanda kichwani, nchi ipo na matatizo mengi ya kusolve ila unashangaa katika mambo ya kijinga inatumika rasilimary mda , pesa utafikiri wegner group, ambao hawajui changamoto zinazolikabili taifa, mfano leo kwa nguvu nyingi iliyotumiwa ni pesa ngapi zimeenda kwa nchi maskin kama hii?
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti polisi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo iliyotolewa leo Jumapili Septemba 10, 2023 ilisema kuwa Lissu na wenzake watatu walishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.
Mwandishi wa Habari kutoka Jambo TV, Oscar Kasubi aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo naye ameachiwa usiku huu.
Arusha Zone
===
Pia soma:
Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Jeshi la Polisi: Tunamshikilia Tundu Lissu kwa kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia Polisi kufanya kazi yake
Nakazia polisi bongo ni trashAkili za polisi wetu aibu sana,
Ni watu kama vijana wanaocheza singeli au mdundiko!
Siku zote wanatsfuta kiki za kijinga, yaani wana operate kama kuku asiye na kichwa!
Wiki hii vijana wa jwatz walipita maeneo mbali mbali wakichukua mabegi na nguo zenye kufanana na nguo zao, sasa kwa akili ndogo tu, kwa vile hizo nguo hazikutoka wala kuibiwa jeshini,ilibidi zichomwe moto! Sasa makenge Yale na umaskini wao utakuta yamezibeba yameenda kugawana!
Tatizo LA kuajiri vilaza failures wa form 4 div 4!