Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

Huyu samia kwa kweli, angetuachia nchi yetu arudi kwao sijui ni Oman au Zanzibar! Kosa la Lissu liko wapi wakati mikutano ya hadhra imeruhusiwa? Huyu mwanamke anajidhalilisha!
 
Habari ndiyo hiyo, wajeshi nao yasemekana wanataka ukweli kuhusu bandari kwani ni jukumu lao kulinda mipaka.
Mkuu Lipijema,
1. wajeshi wametaka ukweli lini?
2. Wametumia jukwaa lipi?
3. Je ni CDF aliyetaka hivyo au ni nani?
4. Siku ipi hiyo wametaka ukweli wa bandari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…