Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake wanajitaka ama unawatafutia kesi.
Hebu nenda wewe kazuie msafara wa Mkuu wa Mkoa uone kitakachokupata Bw.Tundu Lissu, waeleze wanachama wa chadema mna nini hasa cha maana endapo mtapewa uongozi wa kijiji, mjinga mmoja anaitwa Twaha nani sijui amewaambia wanachama huko Momba kuwa ukichagua chadema maisha yatakuwa mazuri, sasa na wewe mwenyewe ugomvi na mwenyekiti wako tangaza sera baba.
Nawashauri wananchi msikubali kugombanishwa na serikali, mtazingira gari mtakula kibano mwenzenu anasanuka pole pole hamumuoni tena.Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Pia soma > LGE2024 - Tundu Lissu: Mkuu wa Mkoa haruhusiwi kufanya kampeni akija mumkatae, kama mtamzuia kwa mawe ni juu yenu