Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Umeona hapo nimeandika? Pia hapo tunaongelea ujinga anaoendelea kuufanya na sio kupigwa risasi bwashee
Ujinga gani aliokufanyia?

Ufedhuli na uadui mliomfanyia mnataka awe mwema kwenu?
 
Atalindwa kama wananchi wengine tu hamna uspesho hapo.
Yaani huko ulaya unamtusi rais, unaitusi serikali yake, unawatusi polisi, unalitusi jeshi, unaisaliti nchi alafu unaomba ulinzi na huruma kwa hao hao...
Kituko sana hiki..
 
Aambiwe huku membe kishapewa kijiti, labda aje kuwa adc wa membe..
 
Yaani baadhi ya vijana hawajitabui kabisa! Eti anahutubia taifa! Yeye ni nani?
 
Aje na dreva wake kwani ndiye anayewajua hao waliopanga kutaka kumuua.

Kuhusu kesi zake: siyo sita kama alizoziacha. Aliongeza zingine mpya alipotembelea nchi za ulaya na marekani baada ya kupona majeraha yake. Wadhamini wake walishaomba kujitoa mara tu atakapopatikana. Hivyo kukamatwa na kufikishwa mahakamani atakapopatikana tu nchini ni lazima. Maamuzi mengine baada ya hapo ni ya mahakama.

Kuhusu polisi kumhakikishia usalama wake ni kitu ambacho hakiwezekani. Hata maraisi wanaolindwa sana na vyombo vyote vya usalama bado hawana 100% ya uhakika wa usalama wao. Hata Trump wa Amerika hana uhakika wa usalama wake 100%. Sasa sembuse Tundu? Anataka ulinzi gani special wa polisi, wa kiwango kipi zaidi ya ulinzi ambao polisi.wanaotoa kwa raia wotè na mali zao? Kweli huyu anapaswa kwanza kupimwa Mirembe mara tu atakapotua nchini. Mambo mengine yatategemea ripoti ya hao mabingwa wa Mirembe.
 
Ni hatia gan aliyonayo tukiwaambia nyie in mataga mnakataa sasa narudia wew na ccm wote ni mataga.
 
Hapa sio mahakamani subiri atue nchini ndipo atajua vizuri akishadakwa.Maelezo yote mahakamani sio Jamii forums.Akidakwa akifikishwa Segerea siku kesi ikipangwa ndipo atajua makosa yake.Anakaribishwa Segerea
Aha kumbe tatizo ni uelewa!
 
Mimi Nina shaka dogo tu

If unarudi Kama.mwananchi huru... Ulinzi wa nini
 
Welcome back home Tundu Antipas Lissu. The greatest of the the greatest.

Naona Nuru Tanzania, Naona mwanzo mpya wa Tanzania Nzuri, yenye furaha na yenye maendeleo makubwa ya watu na vitu.

Naiona Tanzania yenye taasisi imara zinazofanya kazi kwa uhuru bila kutegemea nguvu za mtu mmoja.

Karibu nyumbani Tundu Antipas Lissu, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020- 2025.

Kama Mungu ndo alikuponya na Kifo mbele ya risasi 38 basi anaenda kukupa cheo cha juu kabisa kwenye nchi hii hapo October 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…