Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Wewe ndiye kiranja wa misukule
Vituko haviishi eti anaongea na watanzania hata Kama Ni usukule mtakuwa umepitiliza, mnakwama wapi bavicha? [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kelele za nini, si arudi tu bongo? Tunamsubilia terminal 3 aje ajibu mashtaka kwa nini aliwatoroka wadhamini wake! Anazurula na kuswampa kwa mabeberu kuichafua nchi!

Je watu wasafi huchafuliwa kwa mabeberu wa wapi? Ukitenda haki na msafi kama Yesu huna haja ya kuogopa kuchafuliwa na majirani.
 

Haji hadi barua ya chama chake ipate majibu chanya toka kwa wakuu wa usalama. I see this as a minus for chadema.
 
Anakiwa kuongelea kuhusu kwenda Segerea hayo ya sijui kwenda kura ya maoni sijui kuchukua fomu kugombea kutoka NEC hayo asahau breki ya kwanza Segerea .akikaa kule kama wiki tatu hivi napendekeza apelekwe mahakamani halafu kesi iahirishwe hadi october 30 itakaposikilizwa tena baada ya kupita uchaguzi mkuu tarehe 28 October 2020 halafu baada ya hapo isikilizwe mfululizo hadi hukumu itakapotolewa
 
Karibu nyumbani Tundu. Pole kwa yote yaliyokusibu.
 
Karibu tena nyumbani mbeba maono wetu
 
Haji hadi barua ya chama chake ipate majibu chanya toka kwa wakuu wa usalama. I see this as a minus for chadema.
Atasubiri sanaaaaa!!!! .Kazi ya vyombo vya usalama sio kumlinda mhalifu ni kumkamata mhalifu.Lisu anatakiwa Segerea na court order zipo,pingu zipo na magari ya kumbeba yapo na askari wapo .Yeye anatakiwa kukamatwa halafu eti inaandikwa barua kwa vyombo vya ulinzi eti vimpe ulinzi mhalifu !! that is ridiculous!! Barua Chadema waliyoandika ilitakiwa isomeke hivi sisi kama chama tunachojali sheria tunaomba Lisu akitua tu mkamateni mpelekeni Segerea kama court order zinavyotaka
 
A view of a sadist.
 
Pole Lissu, Tanzania ulioiacha sio hii tuliyo nayo sasa. Utafutika katika uso wa dunia na hakuna atakae hoji uko wapi na tutakusahau baada ya muda mfupi, Kumbuka maneno yako "Raisi anajua walionishambulia/ Jaribio la mauaji ya kisiasa( Political assassination)" Maneno haya ni uhaini..!! .Utakamatwaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!. Usijeeeeeeeeeeeeeee!!!!!. Gombea ukiwa hukohukooooooo
 
Those gunmen are still at large though. Na polisi wetu wanaamini sehemu salama kwa any person of interest ni LOCK-UP selo za polisi. Hawa polisi hawatompa Lissu ulinzi na no boira CHADEMA wafanye mpango wa kumlinda wao wenyewe
 
karibu nyumbani shujaa wetu wa uhuru mpya.... karibu baba. karibu tena nyumbani.
 
Air Tanzania imefufuliwa, SGR imekamilika zaidi ya 80%, Stiglers Gorge inakamilika punde, vijana Wanapata mikopo kusoma Elimu ya juu, ELIMU BILA MALIPO(Darasa la kwanza-kidato Cha nne) Watazania hawataki Maandamano na Malalamiko.
 
Mahabusu wamuongeze ndoo za kujisaidia ziwe mbili,maana amenenepa balaa.
 
Mungu azidi kukulinda na akusimie, Karibu sana nyumbani - we missed u a lot our Brother!!

"Hope for the BEST comrade and welcome back home"
 
Kuna watu wanataka utawala wa Sheria lakini wenyewe wanaogopa hizo hizo Sheria. Njoo nyumbani boss upambane na kesi zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…