Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Chuki huwa ni sumu mbaya nakuombea hiyo chuki moyoni kwako itokee ubaki salama
 
Sera nzuri za CCM za kuboresha miundombinu ambayo yeye anaita maendeleo ya vitu ndio imempa hiyo nafasi ya kutamba ndani ya mwendokasi.

Just imagine, tungekuwa na maisha magumu kiasi gani kama Mungu angetuumba sisi kwanza bila kuumba vitu.
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.

Ukitaka kujua Lissu atapata % ngapi ya kura, angalia video hiyo kwenye mwendo kasi! Ni hivi, statistically - watu wanaoonyesha kumtambua Lissu ndani ya basi hilo ni kama 30%, angalia tena! Lissu ni mtu mkubwa na kama angekuwa na ushawishi mkubwa, zaidi ya 50% ya basi hilo wange kuwa wanamwangalia!
Viashilia vya kushindwa kwake vingi!
 
Atakunywa chai kama Lowasa kwa mama ntilie na kupanda daladala lakini atabaki hivyo hivyo tu.

Mwambie akamuulize Lowasa baada ya uchaguzi bado anapanda daladala au kunywa chai kwa mama ntilie?
Wasituzuge sisi wananchi.

Hivi yule mwingine ataendelea kupiga magoti baada ya uchaguzi??? Nauliza tu No offense
 
Mtupoli yupo gereji baada ya tripu moja ya Shamba...

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 

Hkiki kichwa kimekuzidi wewe endelea na mengine hapa hupawezi
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.

Hahahaha eti mtu ambaye hajawahi panda mwendo kasi anaomba uraisi, hata hajui shida za wanyonge, kila kukicha in kwa mabeberu! Tar 28 tutakacho mfanya kwenye sanduku la kura, hatasahau!
 
Sera nzuri za CCM za kuboresha miundombinu ambayo yeye anaita maendeleo ya vitu ndio imempa hiyo nafasi ya kutamba ndani ya mwendokasi.

Just imagine, tungekuwa na maisha magumu kiasi gani kama Mungu angetuumba sisi kwanza bila kuumba vitu.
Kwa hiyo kauli ya CHADEMA kwa tafsiri yako ya kidwanzi unadhani wanapendekeza matumizi ya punda kama usafiri?
Hebu punguzeni ujinga bwana! Tunajisikia vibaya Watanzania wenzetu kuwa na mtindio kiasi cha kushindwa kuelewa hata mambo mepesi namna hii.
 
Lissu anajua kutonesha vidonda balaaa.🤣🤣🤣. Ngoja naniliii amalizane na Chakwera usikie Sirro na Mahera watavolipuka🤣🤣🤣
Chakwera ametumwa na UN kuja kulishawishi hili jinga la hapa kuwa litachakazwa kipigo cha mbwa mwizi kama likicheza na demokrasia. Si unajua malawi walimaliza kwa amani na ustaarabu mkubwa. Wapuuzi wa desturi ni lazima waonywe!
 
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza CCM roho inamuuma hadi anaugua tene
Ccm inamradi gani wa kuwezesha kuwa hadi na hela za kujenga barabara za mwendo kasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…