Jurrasic
Member
- Oct 19, 2018
- 67
- 67
Ha ha jinga
Halafu sijaongelea Nyerere Wala mzee madiba
Halafu usiwe Kama jinga yan magufuli amwachie lowassa nchi makamo was raisi alichaguliwa kwaajili gani
Halafu nkwambie kitu ndugu demokrasia ni Jambo la kufikirika na Kila mtu anatafsiri anavyoweza km ww ulivyosema eti kumwachia mpinzani nchi Rais akisafiri ndo unaona demokrasia #maanayademokrasiainabidiiangaliwe upya
All in all nataka niskie lisu anamzidi magufuli kwenye nn??
Haha waajabu ww?? Kwanza usifaninishe enzi hizi na kipindi Cha hao wazee ingawa walifanya kazi zao vizuriNaona we ndo mtoto mchanga usiyejua unachosoma wala kuandika. Pamoja na Urais kuwa Taasisi huyo aliyekalia hicho kiti lazima awe na KIPAWA CHA UONGOZI ANACHOZALIWA NACHO MTU.
Watu kama kina Mzee Madiba(rip) na Mwl.Nyerere(rip)walizaliwa wakiwa na vipawa vya KUONGOZA siyo Kutawala!
Hivi Unawezaje kumlinganisha mtu kama Magufuli na Nyerere au Mandela kwa mfano?
Mandela akiwa Rais aliwahi kusafiri ziara ya kikazi nje ya Afrika Kusini na akamwachia Ikulu mpinzani wa chama cha Inkatha Freedom Fighter na kila kitu kikawa sawa kabsaaaaa.....Hivi mtu kama Jiwe anaweza kumwachia Mhe.Lowassa au Mbowe au Lissu akae Ikulu kwa muda?