Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ha ha jinga
Naona we ndo mtoto mchanga usiyejua unachosoma wala kuandika. Pamoja na Urais kuwa Taasisi huyo aliyekalia hicho kiti lazima awe na KIPAWA CHA UONGOZI ANACHOZALIWA NACHO MTU.
Watu kama kina Mzee Madiba(rip) na Mwl.Nyerere(rip)walizaliwa wakiwa na vipawa vya KUONGOZA siyo Kutawala!
Hivi Unawezaje kumlinganisha mtu kama Magufuli na Nyerere au Mandela kwa mfano?
Mandela akiwa Rais aliwahi kusafiri ziara ya kikazi nje ya Afrika Kusini na akamwachia Ikulu mpinzani wa chama cha Inkatha Freedom Fighter na kila kitu kikawa sawa kabsaaaaa.....Hivi mtu kama Jiwe anaweza kumwachia Mhe.Lowassa au Mbowe au Lissu akae Ikulu kwa muda?
Haha waajabu ww?? Kwanza usifaninishe enzi hizi na kipindi Cha hao wazee ingawa walifanya kazi zao vizuri
Halafu sijaongelea Nyerere Wala mzee madiba
Halafu usiwe Kama jinga yan magufuli amwachie lowassa nchi makamo was raisi alichaguliwa kwaajili gani
Halafu nkwambie kitu ndugu demokrasia ni Jambo la kufikirika na Kila mtu anatafsiri anavyoweza km ww ulivyosema eti kumwachia mpinzani nchi Rais akisafiri ndo unaona demokrasia #maanayademokrasiainabidiiangaliwe upya
All in all nataka niskie lisu anamzidi magufuli kwenye nn??
 
KWA MUJIBU WA KATIBA LISSU AMEPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS NA UBUNGE
Kosa hili kwa mujibu wa ibara ya 67(2)( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Maana yake ukiivunja Sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo 2019 basi tunahesabu miaka mitano tokea leo 2019 ambayo itakuwa hadi 2024(kama sijakosea hesabu) ndipo sasa unakuwa na sifa tena ya kuweza kugombea na kuchaguliwa kuwa mbunge. Kwahiyo Lissu atakosa sifa hii ya kuwa au kugombea tena ubunge hadi 2024.

TWENDE KWENYE URAIS.
Ibara ya 39( 1 ) ( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha wazi kuwa moja ya sifa kuu ya kugonbea kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa na sifa ya kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Hivyo basi Lissu hataweza kugombea ubunge hadi hiyo 2024, lakini pia hataweza kugonbea urais hadi 2024.

Hii ndio Calculation ya Kisheria na ndio ukweli hadi itakapotamkwa vinginevyo na vyombo vyenye mamlaka.
Duh...!
Hivyo ushauri kama huu hauna maana tena.
P
 
Ndugu Mayala, Spika amezidi kumjenga Mhe Lissu, kama hapatakuwa na kizuizi chochote kule kumfukuza Ubunge amefagia njia ya Lissu na wananchi watampa kura za “huruma”! Mtu kupigwa risasi 38 na kapona siyo kawaida, ni muujiza na Mungu anakusudi naye!! Kuna viongozi ndani ya serikali wanampiga vita Rais Dr Magufuli kwani wanamhofia huyu Mwl Nyerere II ni hatari kwa mali zao!!! Ila mimi najua ni Magufuli mpaka 2030 mradi abaki kuendelea kuwa mcha Mungu na mzalendo. Umeona viwanda na mashirika ya Mwl Nyerere yanarudi taratibu na nyumba zitarudi November 2020!
 
Ndugu Mayala, Spika amezi kumjenga Mhe Lissu, kama hapatakuwa na kizuizi chochote kule kumfukuza Ubunge amefangia njia ya Lissu na wananchi watampa kura za “huruma”! Mtu kupigwa risasi 38 na kapona siyo kawaida, ni muujiza na Mungu anakusudi naye!! Kuna viongozi ndani ya serikali wanampiga vita Rais Dr Magufuli kwani wanamhofia huyu Mwl Nyerere II ni hatari kwa mali zao!!! Ila mimi najua ni Magufuli mpaka 2030 mradi abaki kuendelea kuwa mcha Mungu na mzalendo. Umeona viwanda na mashirika ya Mwl Nyerere yanarudi taratibu na nyumba zitarudi November 2020!
Lakini nafikiri shida ya Lissu sio ubunge atapanda grade kugombea urais.
 
Eti CHADEMA wawaonyeshi uerious wowote kuelekea 2020?. ulitaka waonyesheee wapi? wewe hujui yanayowapata? wanazuiwa hadi kufanya mikutano ya ndani achilia mbali ya hadhara !... yaani unagombana na mtu umemfunga miguu na mikono halafu unajishaua etii jamaa hawezi hata kurusha ngumi, any way elewa jambo moja kwa free and fair ELECCTION bila police ccm Magufuli anashindwa hata na DOVUTWA
 
Leo ni Tundu Lissu day, ilikuwa arejee, leo, japo hakurejea, tunamuadhimisha kwa kumtafakari. Kwenye bandiko hili nilimchagiza yeye ndiye asimame na Magufuli.

Leo siku ya tarehe 7/Sept. 2019 ni siku ya kumbukumbu ya miaka miwili toka Mh.Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Mpaka leo bado wasiojulikana hawa bado hawatajulikana na uchunguzi mkubwa, makini na mkali wa Jeshi letu adilifu la polisi, unaendelea kuwabaini wasiojulikana hawa, hivi sasa kuna mashuhuda wawili muhimu sana, wanasubiriwa wao tuu kuhojiwa ndipo taarifa rasmi ya polisi kuhusu maendeleo ya uchunguzi huu ndipo ilatolewa.

Tuvute subra.

Get well soon Mhe. Tundu Lissu and welcome back home.

P
 
2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara
Huu ndio ukweli wenyewe wa 2020!.

Tukubali tukatae, JPM ni JIWE la ukweli, ni Mwamba, ni Jabali, hivyo kwa upinzani wa Tanzania huku Bara, kuna watu wawili tuu ndio wanaweza kupambana na JPM kwenye urais na JPM akapata angalau joto joto la uchaguzi, hawa ni Tundu Lissu na Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa vile mpaka sasa hakuna uhakika wa Tundu Lissu kurejea nchini kuja kumkabili JPM kwenye urais, hivyo Zitto ndie mgombea pekee aliyebakia anayeweza kuleta impact kwenye urais.

ZZK asipokuwa mgombea wa upinzani kwa mwaka huu kumkabili JPM wa CCM, then ZZK ndie Mbunge pekee atakaye penya kwenye kasi ya JPM na kurejea Bungeni.

Kwa huku bara, tunakwenda kwenye Bunge la chama kimoja, ZZK ndie KUB, kupitia wabunge wa ACT watakao penyea Zanzibar, haswa kutoka Pemba na yale majimbo yao wawili ya Zanzibar.

Kwa huku Tanzania Bara, ZZK ndie mpinzani pekee atakayevuka kisulisuli cha CCM 2020


P
 
Mayala mgombea wa upinzani atapatikana last minute .Kwa siasa za kikoloni hutarajii kumnusa saizi na ndio maana mnahaha kuchombeza chombeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Hii ni update ya hizi trends nilizozizungumza humu za kuelekea 2020,
  1. Humu nilisema uchaguzi wa 2020, wapinzani wengi watapoteza majimbo na kata zao na kuchukuliwa na CCM, hivyo wanasiasa wenye kuona mbali watajiunga na CCM, hili limeendelea kufanyika na kutokea.
  2. Chadema wameishajua watapoteza kata karibu zote na majimbo karibu yote kwa madiwani na wabunge wake kuhamia CCM, ndio maana inaweza kuwafuta uanachama wabunge wake, kinyume cha katiba yake, kanuni na bila kufuata taratibu walizojiwekea.
  3. Tangazo la Mhe. Spika jana Bungeni kuwa Mhe. Mbowe hatarudi Bungeni ni uthibitisho wa hoja za bandiko hili, kuwa kuna kitu CCM wamekipanga, kitakakachofanya wapinzani wasirudi Bungeni 2020, sasa kama Spika katangaza hata Mwenyekiti wa Taifa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe hata rejea Bungeni!, then who will?!.
  4. Mbowe ni Mbunge wa Machame, amechaguliwa na wananchi wa Machame kuwa Mbunge wao na mwakilishi wao Bungeni, wenye uamuzi wa kama Mhe. Mbowe atarejea Bungeni au la, ni wapiga kura wa Machame na sio Spika wa Bunge. Kwa vile Spika wa Bunge ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kauli ya Spika kuwa Mbowe hatarejea Bungeni ni kauli nzito inayothibitisha nilicho kisema humu kuwa Bunge la 2020 ni Bunge la CCM and CCM only!.
  5. Cheo cha Spika ni miongoni mwa vyeo vya derivatives au secondary, cheo cha msingi ni ubunge, yaani mtu huwezi kuwa spika hadi kwanza uwe Mbunge, the same kwa mawaziri na manaibu mawaziri, hivyo cheo cha msingi cha Spika wa Bunge ni Mbunge wa Kongwa, uspika ni cheo cha sekondari tuu kinaweza kuondolewa. Kitendo alichofanya Spika kumtangaza Mbowe hatarejea Bungeni ni Spika kukivaa kichwani cheo cha Spika, hivyo uspika umempanda kichwani na kuvuka mipaka ya jurisdiction yake, kwa Mbunge wa Kongwa, kuwaamulia wana Machame nani ndiye atakuwa Mbunge wao 2020 na sio Mbowe hata kama wao Mbowe wanampenda vipi!. Hili la vyeo kuwapanda kichwani baadhi ya viongozi ni tatizo kubwa!. Kwa mfumo wetu wa vyama vingi, hata rais wa JMT hawezi kutangaza hadharani kitu ambacho Spika amekitangaza!, if anything happens to Mbowe, Spika will be in a hot soup to justifies alipotangaza kuwa Mbowe hatarejea Bungeni, how did he know?, kwani CCM wamepanga kumfanya nini Mbowe hadi asirejee Bungeni?, au by now tayari Spika wa Bunge ameisha letewa orodha ya wabunge wa 2020 ambayo inaonyesha Mbowe hatakuwepo?.
  6. Wakati napandisha bandiko hili, kitu kinachoitwa The NCCR Mageuzi Factor was not there hivyo nikaeleza humu kuwa wabunge wote wanaojitambua, watahamia CCM, lakini kufuatia a recent assumed secret alliance between CCM and NCCR Mageuzi to be secret allies, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, baadhi ya watakao hama Chadema hawatahamia CCM bali watahamia NCCR-Mageuzi kwa ahadi kuwa CCM haitasimamisha wagombea strong wenye nguvu katika majimbo ya NCCR-Mageuzi, watasimamisha wagombea weak ili NCCR Mageuzi ishinde Chadema.
  7. Kitakacho tokea ni ili kuubomoa upinzani kwenye maeneo ambayo ni ngome na strong holds za Chadema, ambazo kamwe CCM haiwezi kushinda, hatua ya kwanza ni kuzigawanya kura za upinzani.
  8. Uchaguzi Mkuu wa 2020 NCCR-Mageuzi haitajiunga na upinzani kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya CCM.
  9. Hivyo sasa wote watakao enguliwa Chadema ama watajiunga CCM ama NCCR-Mageuzi, hivyo kila jimbo la Chadema kwa 2020 litakuwa na wagombea 3, mgombea wa Chadema wenye jimbo, mgombea wa NCCR-Mageuzi na mgombea wa CCM.
  10. Kwavile jimbo lilikuwa Chadema mfano Rombo, then kuna watu ni loyalists wa Chadema, wao wakamchagua mgombea yeyote atakayepitishwa na Chadema.
  11. Joseph Selasini atagombea kupitia NCCR-Mageuzi hivyo kuna wana Rombo wanamkubali hivyo watampigia kura zao
  12. Mchuano mkali utakuwa ni kati ya Chadema na NCCR-Mageuzi ndio wata zi split kura za upinzani kwa kugawana kura huku mgombea wa CCM amesimama pembeni akishuhudia vita vya panzi.
  13. Matokeo ya mwisho ni atakayeshinda ni mgombea wa CCM kwa slim margin kwasababu Chadema na NCCR-Mageuzi watagawana kura.
  14. Hata Mwenyekiti mwenyewe wa NCCR-Mageuzi hatakuwa salama jimbon kwake kwasababu Chadema watamsimamishia mtu, CCM itajiokotea, hivyo hoja ya 2020 ni CCM pekee kwa huku bara still stands.
  15. Sehemu pekee trick hii itagonga mwamba ni Zanzibar, kule CCM itafanya alliance na CUF ili wapinzani wagawane kura kati ya CUF na ACT-Wazalendo ili CCM washinde. Kwa kule ACT-Wazalendo haswa kwa upande wa Pemba, I doubt kama CUF or CCM wataambulia kitu. Hivyo wabunge pekee wa upinzani wenye uhakika wa kuingia Bungeni ni kutoka ACT-Wazalendo.
  16. Kwa upande wa bara, kama Zitto asipoteuliwa kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya upinzani, (if Tundu Lissu atarudi), then kwa maoni yangu, Zitto ndiye Mbunge pekee wa upinzani huku bara atakayeweza kuli retain jimbo lake kwa kirahisi, hivyo Zitto ndio likely atakuwa KUB kwa Bunge la 2020, hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu na kwa uwezo wake, huo Muziki wake as KUB, licha ya Bunge lijalo kuwa ni Bunge la CCM dominated, lakini kwa KUB kama ZZK, huo mchakamchaka wa Zitto utakuwa usipime!.
P
 
Wanabodi,

Hii ni update ya hizi trends nilizozizungumza humu za kuelekea 2020,
  1. Humu nilisema uchaguzi wa 2020, wapinzani wengi watapoteza majimbo na kata zao na kuchukuliwa na CCM, hivyo wanasiasa wenye kuona mbali watajiunga na CCM, hili limeendelea kufanyika na kutokea.
  2. Chadema wameishajua watapoteza kata karibu zote na majimbo karibu yote kwa madiwani na wabunge wake kuhamia CCM, ndio maana inaweza kuwafuta uanachama wabunge wake, kinyume cha katiba yake, kanuni na bila kufuata taratibu walizojiwekea.
  3. Tangazo la Mhe. Spika jana Bungeni kuwa Mhe. Mbowe hatarudi Bungeni ni uthibitisho wa hoja za bandiko hili, kuwa kama hata Mwenyekiti wa Taifa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe hata rejea Bungeni!, then who will?!.
  4. Mbowe ni Mbunge wa Machame, amechaguliwa na wananchi wa Machame kuwa Mbunge wao na mwakilishi wao Bungeni, wenye uamuzi wa kama Mhe. Mbowe atarejea Bungeni au la, ni wapiga kura wa Machame na sio Spika wa Bunge. Kwa vile Spika wa Bunge ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kauli ya Spika kuwa Mbowe hatarejea Bungeni ni kauli nzito inayithibitisha nilicho kisema humu kuwa Bunge la 2020 ni Bunge la CCM and CCM only!.
  5. Cheo cha Spika ni miongoni mwa vyeo vya derivatives au secondary, cheo cha msingi ni ubunge, yaani mtu huwezi kuwa spika hadi kwanza uwe Mbunge, the same kwa mawaziri na manaibu mawaziri, hivyo cheo chs msingi cha Spika wa Bunge ni Mbunge wa Kongwa, uspika ni cheo cha sekondari tuu kinaweza kuondolewa. Kitendo alichofanya Spika kumtangaza Mbowe hatarejea Bungeni ni Spika kukivaa kichwani cheo cha Spika, hivyo uspika umempanda kichwani na kuvuka mipaka ya jurisdiction yake, kwa Mbunge wa Kongwa, kuwaamulia wana Machame nani ndiye atakuwa Mbunge wao 2020 na sio Mbowe hata kama wao Mbowe wanampenda vipi!. Hili la vyeo kuwapanda kichwani baadhi ya viongozi ni tatizo kubwa!. Kwa mfumo wetu wa vyama vingi, hata rais wa JMT hawezi kutangaza hadharani kitu ambacho Spika amekitangaza!, if anything happens to Mbowe, Spika will be in hot soup to justifies alipotangaza kuwa Mbowe hatarejea Bungeni, how did he know?, kwani CCM wamepanga kumfanya nini Mbowe hadi asirejee Bungeni?, au by now tayari Spika wa Bunge ameisha letewa orodha ya wabunge wa 2020 ambayo inaonyesha Mbowe hatakuwepo?.
  6. Wakati napandisha bandiko hili, kitu kinachoitwa The NCCR Mageuzi Factor was not there hivyo nikaeleza humu kuwa wabunge wote wanaojitambua, wahamia CCM, lakini kufuatia a recent assumed secret alliance between CCM and NCCR Mageuzi to be secret allies, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, baadhi ya watakao hama Chadema hawahamia CCM bali watahamia NCCR-Mageuzi kwa ahadi kuwa CCM haitasimamisha wagombea wenye nguvu katika majimbo ya NCCR-Mageuzi.
  7. Kitakacho tokea ni ili kuubomoa upinzani kwenye maeneo ambayo ni ngome ya Chadema, na CCM kamwe haiwezi kushinda, hatua ya kwanza ni kuzigawanya jura za upinzani. Uchaguzi wa 2020 NCCR-Mageuzi haitajiunga na upinzani kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya CCM.
  8. Hivyo sasa wote watakao enguliwa Chadema ama watajiunga CCM ama NCCR-Mageuzi, hivyo kila jimbo la Chadema kwa 2020 litakuwa na wagombea 3, mgombea wa Chadema wenye jimbo, mgombea wa NCCR-Mageuzi na mgombea wa CCM.
  9. Kwavile jimbo lilikuwa Chadema mfano Rombo, then kuna watu ni loyalists wa Chadema, wao wakamchagua mgombea yeyote atakayepitishwa na Chadema.
  10. Joseph Selasini atagombea kupitia NCCR-Mageuzi hivyo kuna wana Rombo wanamkubali hivyo watampigia jura zao
  11. Mchuano mkali utakuwa ni kati ya Chadema na NCCR-Mageuzi ndio wata zi split kura za upinzani kwa kugawana kura huku mgombea wa CCM amesimama pembeni akishuhudia vita vya panzi.
  12. Matokeo ya mwisho ni atakashinda ni mgombea wa CCM kwa slim margin kwasababu Chadema na NCCR-Mageuzi watagawana. Hata Mwenyekiti mwenyewe wa NCCR-Mageuzi hatakuwa salama jimbon kwake kwasababu Chadema watamsimamishia mtu, CCM itajiokotea, hivyo hoja ya 2020 ni CCM pekee kwa huku bara still stands.
  13. Sehemu pekee trick hii itagonga mwamba ni Zanzibar, kule CCM itafanya alliance na CUF ili wapinzani wagawane kura kati ya CUF na ACT-Wazalendo ili CCM washinde. Kwa kule ACT-Wazalendo haswa kwa upande wa Pemba, I doubt kama CUF or CCM wataambulia kitu. Hivyo wabunge pekee wa upinzani wenye uhakika wa kuingia Bungeni ni kutoka ACT-Wazalendo.
  14. Kwa upande wa bara, kama Zitto asipoteuliwa kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya upinzani, (if Tundu Lissu atarudi), then kwa maoni yangu, Zitto ndiye Mbunge pekee wa upinzani atakayesema kuli retain jimbo lake kwa kirahisi, hivyo Zitto ndio likely atakuwa KUB kwa Bunge la 2020, hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu na kwa uwezo wake, huo Muziki wake as KUB, licha ya Bunge lijalo kuwa CCM dominated, lakini mchakamchaka wa Zitto utakuwa usipime!.
P
Pascal, kweli nimeamini kuwa mganga sio lazima usomee hata "kutabiri" tu inatosha
 
Back
Top Bottom