Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Mkuu sosoliso , kwanini kwa urais Lissu hapana?.
P
Mkuu, nilishabadilisha mawazo mbona.. Kwa sasa na hali ambayo tumeingia, Tundu Lissu anafaa sana kuwa raisi.. Kuna watanzania wengi wamenyimwa haki zao na mahakama ambazo ndo tegemeo lao zimedharauliwa, Lissu akiwa kama muumini mzuri wa sheria, naamini atahakikisha sheria zinafuatwa kila anaestahili haki yake apate.

Pia kumekuwa na uvunjivu wa katiba, Lissu akiwa ni muumini mzur wa sheria, naamini atalifanyia kazi hili na kuweka misingi mizuri hata kwa raisi ajaye baada ya yeye kutoweza kuvunja katiba..
 
Safi Sana kwa kuyaona mapungufu ya Jiwe.Ambayo ni hatarishi kwa mustakibali wa Taifa letu!
 
Kwa mtazamo wangu hakuna wa kusimama na Magufuli sio nchi hii tu hata mkatafute huko nje ya nchi, dakika sifuri tu anakutoa nje.
Duh...!. Mkuu xav bero , kwanini unasema hakuna wa kusimama na Magufuli?, jee hao waliosimama nae sio watu ni vikatuni?.
P
 
Duh... kumbe kuna vyama havina mwelekeo...!.
P
 
Shida ni huko vijijini bado hawelewi.,, bado hawajui hata kama Tanzania kuna vyama vingi.
Hao ndo watatusumbua kwenye uchaguzi huu.

Tundu lissu 2020
 
Pascal, Tundu akigombea uraisi ni ngumu kupita kwa sasa, hapo agombee tu huo huo ubunge ila tu wapinzani wakazane kupata viti kwa wingi bungeni, akigombea uraisi atakosa na bunge halitaweza kuwa chachu kama lilivyo kwa sasa
Mkuu Muyobhyo , kwanini unasema Tundu Lissu akigombea urais ni ngumu kupita kwa sasa?. Unamaanisha hivi Lissu anavyogombea ni anajifurahisha tuu, lakini hatapita?.
P
 
Ofcoz lisu yupo vizuri sana,ila uhakika wa upinzani kuingia ikulu kwa miaka yetu hii ni 0% hata kama tukishinda hatuwezi kukabidhiwa nchi.so sio kwa ushindani ulio dhahili hatuwezi kupewa ubingwa hata kama tumeshinda.
Mkuu Juvenile, kwanini unasema uhakika wa upinzani kuingia Ikulu ni ni 0%?.
P
 

Waminepo,

Just remain with your personal views which is aligned to Magufuli and his Political party CCM!

I tell you, H.E. Tundu Antipas Lissu can be a better President than Magufuli.

Hata kina Mandela, Mwl. Nyerere, Samora Machel,etc, walionekana ni Wapinzani, Wachochezi, Wakorofi, wajeuri, whatever you call them.

Lakini mwisho wa siku ndio walikuja kuonekana kuwa Viongozi bora, mahiri, weledi na wenye vipaji vya kuongoza.

Tundu Antipas Lissu differs not to those fallen heroes of our time!

Ati kwa vile ulikuwa pamoja na Tundu Lissu JKT na Dar Varsity basi hafai kuwa Rais.....!!! Kinachooenekana hapa ni wivu tu maana hiyo ni hulka ya Waswahili. Hatutaki kuona mwenzetu tulisoma naye, cheza naye au kuishi naye awe na mafanikio kutupita......maana ataturingia au atajidai.....upuuzi!!
 
Mkuu Daisam , Unamaanisha hao wanaomuona Lissu anafaa ni misukule?.
P
 
Mkuu Mudawote , jee hili la Tundu Lissu kuwa na matatizo ya akili una uhakika nalo?. Miongoni mwa sifa za kugombea ni pamoja na kuwa na akili timamu, unaweza kuthibitisha kuwa Tundu Lissu ana matatizo yake binafsi ya kiakili?.
P
Kusema mtu fulani Hana akiri ni uwezo wa fikra wa msemaji mwenyewe..ukimuliza mtu wa tatu kuhusu msemaji utashangaaa nae atasema "Hana akiri!kipimo cha akili ya mtu ni mahesabu ya fikra "kwa ufupi katika maisha karbia wote hatuna akiri "mana fikra yangu yaweza kuwa ni kukosa akili kwa mtu mwingine!
 
Some people have been fooled by ongoing dramas by the rulling government to the extent that, they think no one else can make a better president than JPM...It is clearly visible that Hon Tundu Lissu Is far better than Jpm In aspects of
1.Rule of Law
2.Intergrity
3.Honest and great respect
Aspects which JPM lacks

All in All CONSTITUTION change is needed no matter what to prevent any incoming Authoritarian rule
 
UKO SAHIHI SANA. Na yote ni kutokana na kuwaza tofauti na kuyachukulia mawazo kwa uzito tofauti.
 
Kwa Situation iliyopo Lissu anaweza kushinda ila wale wapokea maagizo hawawezi kumtangaza! Yani kwa kifupi hakuna tume pale ile ni Subunit ya CCM
 
Na huwezi kuwa na akili timamu ukafikiria TL anaweza kuwa rais wa nchi hii.. kwa akili zako kuna siku utasema hata Lusinde au Kibajaji anaweza kuwa rais...watanzania wenye akili wanakusoma wanakuoa kiazi sana.
Mkuu GuDume, hapa Unamaanisha nini?, unamaana wote wanaomuona Tundu Lissu anaweza kuwa rais wa nchi hii, hawana akili timamu?.

Kwanini unamdharau Kibajaji ?.
Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…