Waminepo,
Just remain with your personal views which is aligned to Magufuli and his Political party CCM!
I tell you, H.E. Tundu Antipas Lissu can be a better President than Magufuli.
Hata kina Mandela, Mwl. Nyerere, Samora Machel,etc, walionekana ni Wapinzani, Wachochezi, Wakorofi, wajeuri, whatever you call them.
Lakini mwisho wa siku ndio walikuja kuonekana kuwa Viongozi bora, mahiri, weledi na wenye vipaji vya kuongoza.
Tundu Antipas Lissu differs not to those fallen heroes of our time!!!!
Ati kwa vile ulikuwa pamoja Tundu Lissu JKT na Dar Varsity basi hafai kuwa Rais.....!!! Kinachooenekana hapa ni wivu tu maana hiyo ni hulka ya Waswahili. Hatutaki kuona mwenzetu tulisoma naye, cheza naye au kuishi naye awe na mafanikio kutupita......maana ataturingia au atajidai.....upuuzi!!