Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Mkuu sosoliso , kwanini kwa urais Lissu hapana?.
P
Mkuu, nilishabadilisha mawazo mbona.. Kwa sasa na hali ambayo tumeingia, Tundu Lissu anafaa sana kuwa raisi.. Kuna watanzania wengi wamenyimwa haki zao na mahakama ambazo ndo tegemeo lao zimedharauliwa, Lissu akiwa kama muumini mzuri wa sheria, naamini atahakikisha sheria zinafuatwa kila anaestahili haki yake apate.

Pia kumekuwa na uvunjivu wa katiba, Lissu akiwa ni muumini mzur wa sheria, naamini atalifanyia kazi hili na kuweka misingi mizuri hata kwa raisi ajaye baada ya yeye kutoweza kuvunja katiba..
 
Mkuu, nilishabadilisha mawazo mbona.. Kwa sasa na hali ambayo tumeingia, Tundu Lissu anafaa sana kuwa raisi.. Kuna watanzania wengi wamenyimwa haki zao na mahakama ambazo ndo tegemeo lao zimedharauliwa, Lissu akiwa kama muumini mzuri wa sheria, naamini atahakikisha sheria zinafuatwa kila anaestahili haki yake apate..

Pia kumekuwa na uvunjivu wa katiba, Lissu akiwa ni muumini mzur wa sheria, naamini atalifanyia kazi hili na kuweka misingi mizuri hata kwa raisi ajaye baada ya yeye kutoweza kuvunja katiba..
Safi Sana kwa kuyaona mapungufu ya Jiwe.Ambayo ni hatarishi kwa mustakibali wa Taifa letu!
 
Kwa mtazamo wangu hakuna wa kusimama na Magufuli sio nchi hii tu hata mkatafute huko nje ya nchi, dakika sifuri tu anakutoa nje.
Duh...!. Mkuu xav bero , kwanini unasema hakuna wa kusimama na Magufuli?, jee hao waliosimama nae sio watu ni vikatuni?.
P
 
Paskali,
chadema hakina muelekeo na sasa

siasa ni mchezo hauhitaji hasira kaka. Tufanye kazi tuliyowaahidi wananchi. Yale tunayoatenda ndiyo mtaji wetu 2020, sasa kama maumivu yakiwa mengi vifuani mwa watu kuliko hayo 'mazuri' unayoamini ulitenda, basi amini nakuambia, usiku mmoja wa kuamkia kupiga kura huwa watosha sana kubadili upepo wa mpiga kura alnayejitambua. Sembuse mwezi mmoja wa kampeni?
Duh... kumbe kuna vyama havina mwelekeo...!.
P
 
Shida ni huko vijijini bado hawelewi.,, bado hawajui hata kama Tanzania kuna vyama vingi.
Hao ndo watatusumbua kwenye uchaguzi huu.

Tundu lissu 2020
 
Pascal, Tundu akigombea uraisi ni ngumu kupita kwa sasa, hapo agombee tu huo huo ubunge ila tu wapinzani wakazane kupata viti kwa wingi bungeni, akigombea uraisi atakosa na bunge halitaweza kuwa chachu kama lilivyo kwa sasa
Mkuu Muyobhyo , kwanini unasema Tundu Lissu akigombea urais ni ngumu kupita kwa sasa?. Unamaanisha hivi Lissu anavyogombea ni anajifurahisha tuu, lakini hatapita?.
P
 
Ofcoz lisu yupo vizuri sana,ila uhakika wa upinzani kuingia ikulu kwa miaka yetu hii ni 0% hata kama tukishinda hatuwezi kukabidhiwa nchi.so sio kwa ushindani ulio dhahili hatuwezi kupewa ubingwa hata kama tumeshinda.
Mkuu Juvenile, kwanini unasema uhakika wa upinzani kuingia Ikulu ni ni 0%?.
P
 
This country can not afford a crippled commander in chief ! Na hatari ni kwamba TL will put foward revenge against JPM and his party ahead of peoples development as he indicts him for failed assassination attempt. Look at the way he is angrily expressing himself in the western media, hata hao wa marekani wanamchora tuu they are not stupid they know this country inside out. Asidhani anachowaeleza wao hawajui!! CIA spies are everywhere around the world and they know many things about us and the country. Kumbuka Morgan Tsvangirai wa ZIMBABWE ilikuaje mpaka wakamdump ending up dying lonely in SA ! Leo hii they want to catapult Juan Gwaido to president of Venezuela sio kwa vile wanampenda na wanawahurumia wavenezuela but because they want regime change and he looks a man to carry their agenda. What they want ni mafuta ya Venezuela! So the they what to introduce havoc in the oil rich nation so they can keep nationals busy fighting while they siphon the liquid gold !

I have never seen Juan Guado parading the corridors of Washington or London media outlets and academic institutions trumpeting the ills of president Maduro as TL is doing for JPM (may be you will argue he hasn't been riddled by 16 bullets) but yet the Americans have spotted him (he is speaker of the opposition led parliament in Venezuela, TL is chief Whip of opposition in our parliament) for the regime change they want.

You put it correctly TL is no different from JPM, he can be even worse ! I remember back in time in JKT I happened to serve with him at Mafinga National Service camp in the late eighties he had the same rhetoric and occasionally we were punished unnecessarily because of his arrogance! When we were at Dar Varsity he went to become DARUSO president, look at how he was pulled down unceremoniously! Because of his extremism! LEADERSHIP IS ENDOWMENT. These are personal views not aligned to any political party.

Waminepo,

Just remain with your personal views which is aligned to Magufuli and his Political party CCM!

I tell you, H.E. Tundu Antipas Lissu can be a better President than Magufuli.

Hata kina Mandela, Mwl. Nyerere, Samora Machel,etc, walionekana ni Wapinzani, Wachochezi, Wakorofi, wajeuri, whatever you call them.

Lakini mwisho wa siku ndio walikuja kuonekana kuwa Viongozi bora, mahiri, weledi na wenye vipaji vya kuongoza.

Tundu Antipas Lissu differs not to those fallen heroes of our time!

Ati kwa vile ulikuwa pamoja na Tundu Lissu JKT na Dar Varsity basi hafai kuwa Rais.....!!! Kinachooenekana hapa ni wivu tu maana hiyo ni hulka ya Waswahili. Hatutaki kuona mwenzetu tulisoma naye, cheza naye au kuishi naye awe na mafanikio kutupita......maana ataturingia au atajidai.....upuuzi!!
 
TL hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi kwa sababu: -
(1)Hana staha
(2)Ni mropokaji
(3)Hajui kuongea kwa ustaarabu, yaani ni mtu wa MATUSI, KEJELI nk.
(4)Ana elements za UDINI, UKABILA na UKANDA.
(5)Yeye ama ni MUONGO au TAPELI.
Kwa sababu alituaminisha kwa nguvu zote kuwa EL ni fisadi hatimaye EL alipohamia kwao akaonekana kama Almasi.
Kwa hiyo mtu mwenye sifa mbovu kama hizo hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Daisam , Unamaanisha hao wanaomuona Lissu anafaa ni misukule?.
P
 
Mkuu Mudawote , jee hili la Tundu Lissu kuwa na matatizo ya akili una uhakika nalo?. Miongoni mwa sifa za kugombea ni pamoja na kuwa na akili timamu, unaweza kuthibitisha kuwa Tundu Lissu ana matatizo yake binafsi ya kiakili?.
P
Kusema mtu fulani Hana akiri ni uwezo wa fikra wa msemaji mwenyewe..ukimuliza mtu wa tatu kuhusu msemaji utashangaaa nae atasema "Hana akiri!kipimo cha akili ya mtu ni mahesabu ya fikra "kwa ufupi katika maisha karbia wote hatuna akiri "mana fikra yangu yaweza kuwa ni kukosa akili kwa mtu mwingine!
 
Waminepo,
Just remain with your personal views which is aligned to Magufuli and his Political party CCM!
I tell you, H.E. Tundu Antipas Lissu can be a better President than Magufuli.
Hata kina Mandela, Mwl. Nyerere, Samora Machel,etc, walionekana ni Wapinzani, Wachochezi, Wakorofi, wajeuri, whatever you call them.
Lakini mwisho wa siku ndio walikuja kuonekana kuwa Viongozi bora, mahiri, weledi na wenye vipaji vya kuongoza.
Tundu Antipas Lissu differs not to those fallen heroes of our time!!!!
Ati kwa vile ulikuwa pamoja Tundu Lissu JKT na Dar Varsity basi hafai kuwa Rais.....!!! Kinachooenekana hapa ni wivu tu maana hiyo ni hulka ya Waswahili. Hatutaki kuona mwenzetu tulisoma naye, cheza naye au kuishi naye awe na mafanikio kutupita......maana ataturingia au atajidai.....upuuzi!!
Some people have been fooled by ongoing dramas by the rulling government to the extent that, they think no one else can make a better president than JPM...It is clearly visible that Hon Tundu Lissu Is far better than Jpm In aspects of
1.Rule of Law
2.Intergrity
3.Honest and great respect
Aspects which JPM lacks

All in All CONSTITUTION change is needed no matter what to prevent any incoming Authoritarian rule
 
Kusema mtu fulani Hana akiri ni uwezo wa fikra wa msemaji mwenyewe..ukimuliza mtu wa tatu kuhusu msemaji utashangaaa nae atasema "Hana akiri!kipimo cha akili ya mtu ni mahesabu ya fikra "kwa ufupi katika maisha karbia wote hatuna akiri "mana fikra yangu yaweza kuwa ni kukosa akili kwa mtu mwingine!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
UKO SAHIHI SANA. Na yote ni kutokana na kuwaza tofauti na kuyachukulia mawazo kwa uzito tofauti.
 
Kwa Situation iliyopo Lissu anaweza kushinda ila wale wapokea maagizo hawawezi kumtangaza! Yani kwa kifupi hakuna tume pale ile ni Subunit ya CCM
 
Na huwezi kuwa na akili timamu ukafikiria TL anaweza kuwa rais wa nchi hii.. kwa akili zako kuna siku utasema hata Lusinde au Kibajaji anaweza kuwa rais...watanzania wenye akili wanakusoma wanakuoa kiazi sana.
Mkuu GuDume, hapa Unamaanisha nini?, unamaana wote wanaomuona Tundu Lissu anaweza kuwa rais wa nchi hii, hawana akili timamu?.

Kwanini unamdharau Kibajaji ?.
Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.
P
 
Back
Top Bottom