Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #401
Mambo yameanza.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yameanza.
Kwa mawazo yako ni ropo ropo lakn kwa mwingine anamwona ni bora usisahau kua yuko mtu hupiga kura kwa hasira tu na kumpa mtu usiyemfikiria.Lissu huyu ropo ropo?
kwa mawazo yako ni ropo ropo lakn kwa mwingine anamwona ni bora usisahau kua yuko mtu hupiga kura kwa hasira tu na kumpa mtu usiyemfikiria.
Usisahau TLS alikiaa miezi sio ziadi ya sita lakini Jengo jipya la wanasheria ndiye aliyelianzisha baada ya kwa kukwama kwa zaidi ya miaka ishirini,pia amewasaidia wanasheria waliokua wakiibiwa fedha kupitia chama cha wanasheria wa Afrika mashariki ili hali wao hawfanyi kazi huko na sasa mchango huo umekua wa hiariMkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Akizungumza na Mwanahalisi Online leo Jumatano tarehe 3 Juni 2020, lililotaka kujua kama anao mpango wa kugombea urais ndani ya chama chake.Amesema, ataandika barua ya kuomba ridhaa ya chama chake kugombea kiti cha urais kwenye uchaguzi huo na kwamba, wakiona inafaa na kumpitisha, yupo tayari kupeperusha bendera ya chama hicho
SAWA TU
Mkuu Poti Maige S Chagu, mtu kabla hujachangia uzi wowote si unapaswa kuusoma kwanza?. Ukiisha soma ukikutana na maelekezo, fuata maelekezo!.tundu lissu ana uwezo upi? wa kupayuka kama mgonjwa wa malaria? au unaongelea uwezo upi pot?
PWanabodi,
NB. Sijasema Lissu ni zaidi ya Magufuli kwenye nini, na nawaomba sana msiniulize!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Mkuu Nanyaro, karibu mitaa hii, au na hapa ni kuwatia watu hofu?.Bwana Paskali nataka kukuhakikishia kuwa
kwa mwandishi kama wewe unapaswa kutumia kalamu yako kuelemisha jamii,badala ya kutia jamii hofu.
Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja ya presidential candidature ya Tundu Lissu kwasababu ni presidential material, hata mimi nilishauriHeshima kwenu wanajamvi.
Ningekuwa na mamlaka ndani ya CHADEMA Mh Lissu angepitishwa mapema asubuhi bila kupoteza muda.Nafikiri ni muda muafaka haswa ndani ya CHADEMA kuacha kupoteza muda Mh Lissu anauzika kirahis zaidi ukilinganisha na wagombea wengine hasa katika majira haya yanayo hitaji mtu wa kushindana na Mh Magufuli ambaye katika kipindi cha miaka mitano amehakikisha upinzani haupati nafasi ya kusikika huku yeye binafsi akitumia vyombo vya habari sana.