GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Tundu Lissu "Ni ajabu Mhe kwamba Mshitakiwa ndiye anayedai apelekwa mahakama kuu ashitakiwe kama mahakama itaona ana hatia anyongwe, mshitakiwa ndiye anayesema twendeni huko."

Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani

Hii, kesi, ni, Kati ya, Lisu, na, Samia(Rais), happy wengine, Hakimu, mawakili wa, serial, DPP, polisi, ni, kenge tu wamepewa maelekezo wajenge mqzingira Lisu, asumbuliweeee, (hawezi kufungiwa, achilia, mbali kunyongwa) Every one knows,
Sasa, kesi ikienda, High court, itabidi hukumu itoke,ama aachiliwe, au, anyongwe,na, Lego hapa, sio, kufungwa wala, kunyongwa, ni, kuzuia Lisu, asitibue maji,, makenge ya, ccm yakashindwa, kula, na, kuiba kiulaiiiiiini!
 
Mahakama zetu ni aibu tupu! ccm walishaharibu mihimili mingine yote (mahakama na bunge) zimekuwa sehemu za kupokea maagizo ya chama na kufanya mambo ya aibu kabisa!
 
Shetani kutwa unawaza ngono badala ya maendeleo, utakufa masikini
Mimi sio masikini na sio tajiri,atleast ninaweza kujenga kajumba kakatokea,naweza kuwa na kapikipiki na chakula cha kuchagua kila siku.wewe ndio shetan unaemchangia tapeli lissu akitoka asepe zake ubelgiji
 
Back
Top Bottom