GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nchi hii usalama wake unalindwa kwa wivu mkubwa sana, umevimbewa mafuta ya alizeti unatishia kukinukisha na uasi, sasa walinda amani wanamuonyesha kwamba chezea yote lakini si ulinzi na usalama wa nchi
 
Lissu awe makini vinginevyo ushahidi wa kumtia hatiani upo wa kutosha...
 
Lissu awe makini vinginevyo ushahidi wa kumtia hatiani upo wa kutosha...

Sikiliza wewe mnafiki, Lissu kasema kama kunyongwa anyongwe ila kesi ipelekwe mahakama Kuu, halafu wewe chawa wa Mama unamwambia awe makini. Wewe ndio uwe makini maana mfumo wa kikatili unakufaidi wewe. So kama kimya na uache kuwadhihaki watu.
 
Matendo yanayoendeshwa na FISIem hata shetani 😈 mwenyewe kabaki anaduwaa
 
Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu."

Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani

Screenshot_2025-05-19-14-15-16-1.png
 
Back
Top Bottom