Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Mambo za Siasa ni kuwaachia wanasiasa wenyewe!!
Mambo za Siasa ni kuwaachia wanasiasa wenyewe!!
Lissu kajichanganya ye mwenyewe kaingia ghetto la masela wasimuachie saa hizi wamuachie mwezi wa 11 baada ya uchaguziTundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu."
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
Na inabidi iwe hivyo kwa Sasa hawa jamaa wamevuka mipaka shubamiiitSina muda wa kumwachia MUNGU hata dak 2, nikipata upenyo wa kukufyatua iwe kwa waganga au risasi nafanya chap
Ndugu yanguShetani kutwa unawaza ngono badala ya maendeleo, utakufa masikini
Wewe unajuaWaliibaje?
Chadema ni mafisadiNi chadema au mtu binafsi,?!
Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu."
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
Huku wanaokula nchi watakavyo kama wewe mko kwenu mnaenjoyIkiwa Mahakama ikimkuta na hatia Mwenyekiti nashauri anyongwe pale Uwanja wa Taifa saa 7 mchana ili lowe funzo.
Funzo gani?Ikiwa Mahakama ikimkuta na hatia Mwenyekiti nashauri anyongwe pale Uwanja wa Taifa saa 7 mchana ili lowe funzo.