Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama majizi ya chademaTuna serikali ya hovyo na ya kishetani haswa nadhani mfumo umejaa laana na dhulma tupu
Ni kati ya wale wapumbavu wasindikizaji wa mfumo, wewe sana unanufaika na pombe, nyama na ngono pekee, koo 3 tu ndiyo zinaitafuna hii nchi, Kikwete, Mwinyi na SamiaKama majizi ya chadema
Kama ukoo wa heche,lissu na lema unavonyonya michango ya chademaNi kati ya wale wapumbavu wasindikizaji wa mfumo, wewe sana unanufaika na pombe, nyama na ngono pekee, koo 3 tu ndiyo zinaitafuna hii nchi, Kikwete, Mwinyi na Samia
Bora michango ya hiari, siyo nyie mnanyonya masikini wa kutupwa hawezi kumudu hata matibabu ya laki 2 watu wanafia ndani huku wanalipa kodi kwa jasho na damu nyie mnaponda raha,Kama ukoo wa heche,lissu na lema unavonyonya michango ya chadema
Ukute hata debe la unga hauna,unaenda kuchangia chademaBora michango ya hiari, siyo nyie mnanyonya masikini wa kutupwa hawezi kumudu hata matibabu ya laki 2 watu wanafia ndani huku wanalipa kodi kwa jasho na damu nyie mnaponda raha,
Nachangia ukombozi wa nchi kuliko nyie matapeli ya nchi, laana itawatafuna wajinga wakubwa nyie mnadhulmu masikini na mafukara.Ukute hata debe la unga hauna,unaenda kuchangia chadema
Wewe subiri mama yako alete mboga upunguze njaa hapo kwenuNachangia ukombozi wa nchi kuliko nyie matapeli ya nchi, laana itawatafuna wajinga wakubwa nyie mnadhulmu masikini na mafukara.
Hii, kesi, ni, Kati ya, Lisu, na, Samia(Rais), happy wengine, Hakimu, mawakili wa, serial, DPP, polisi, ni, kenge tu wamepewa maelekezo wajenge mqzingira Lisu, asumbuliweeee, (hawezi kufungiwa, achilia, mbali kunyongwa) Every one knows,Tundu Lissu "Ni ajabu Mhe kwamba Mshitakiwa ndiye anayedai apelekwa mahakama kuu ashitakiwe kama mahakama itaona ana hatia anyongwe, mshitakiwa ndiye anayesema twendeni huko."
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
Shetani kutwa unawaza ngono badala ya maendeleo, utakufa masikini mjinga mkubwWewe subiri mama yako alete mboga upunguze njaa hapo kwenu
Mimi sio masikini na sio tajiri,atleast ninaweza kujenga kajumba kakatokea,naweza kuwa na kapikipiki na chakula cha kuchagua kila siku.wewe ndio shetan unaemchangia tapeli lissu akitoka asepe zake ubelgijiShetani kutwa unawaza ngono badala ya maendeleo, utakufa masikini