Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa


Acha kujivua nguo. Lissu anaenda kufungua kesi yake tofauti na huyo mzungu. Lazima utofautishe kesi ya Lissu na huyo polisi mzungu.
 

Wewe bush lawyer tofautisha kesi ya Unfair termination na kesi ya kuwapa taarifa wahalifu wamjeruhi Mteja.
 
Wewe umeongea jambo kwa mizani nzuri.
Jamaa wa unyamwezini ng'ambo hawawezi kukubali kampuni yao kubwa MIC ipoteze pesa nyingi kirahisi hivyo.
Acha Lissu atumie fursa hii kisiasa atapata kitu flani kisiasa.

Sio kweli. Kasome kesi ya Radar, bunge la uingereza lilikomalia kampuni yao irudishe chenji Tanzania. Na kweli ile chenji ilirudi tukatengeneza madawati
 
Bongo kuwa mwanasiasa haihitaji ubongo. Hivi hata nakala ya gazeti anayo kweli.? Ile ajenda ya juzi watu washasahau sasa hivi wako London 😆😆😆😆😆😆😆
 
A hypocrite at your finest, all these blah blah whilst your head has space for Lissu issues. So pathetic.
 
Kabisa amekurupuka sana, hana subira.
 

Wewe ndio una stupid reasoning. Unajiita Mwanasheria unashindwa kutofautisha kesi ya Lissu na huyo mzungu wa Tigo? Ni kesi mbili tofauti
 
Sidhani kama msingi wa kesi utategemea huyo white men kushinda au kushindwa. Nadhani cha msingi kwa Lisu ni ule ushahidi ambao yule amepeleka mahakamani na Milicom hawajaukana isipokuwa wamekuwa silence na utetezi wao ikawa kwamba jamaa alipewa redundancy ya kawaida. Soma vizuri the Gurdian ya UK na magazeti mengine
 
Wewe nae umekurupuka kuleta mada bila kuelewa. Kaeleza kuwa baada ya wakili wake Mr Amsterdam kupenyezewa habari hizi, wakili huyo alituma mawakili kwenye kesi hii na wakachukua nyaraka zote muhimu ambao ndio ushahidi. Kaeleza zaidi kuwa, katika shauri hili, Tigo haikukanusha kutoa habari hizo kwa Serikali ila, hoja ni kuwa Michael Clifford hakufukuzwa kazi kutokana na utoaji wa taarifa hizo. Hivyo, uwe unasikiliza vitu na kuvielewa kabla ya kuleta ujuaji.
 

The truth hurts.
 
"anashirikiana kukamata ndege zetu" amawezaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…