econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ana papara, hujiona kuwa yeye anajua zaidi. Na hii ndo tabia ya 'WEHU'
Wasiojulikana Mmefikiwa. Mlidhani mtajificha siku zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana papara, hujiona kuwa yeye anajua zaidi. Na hii ndo tabia ya 'WEHU'
Ana papara, hujiona kuwa yeye anajua zaidi. Na hii ndo tabia ya 'WEHU'
Wamezoea kukatisha uhau wa watu wakipendezewa kufanya hivyoShikilia Hapo Hapo lisu.Songa Mbele.
Hoja yangu ni kwamba ,jambo bado lipo kwenye very early stage mno! Hakukuwa na sababu ya kuita Press badala yake angejipa muda wa kufuatilia suala Hilo kwa makini na utulivu bila kuwapa maadui zake nafasi ya kusoma mawazo yake!
Sasa hapo maadui zake washajua mawazo yake yote ( end game) na ni rahisi sana wao ku- interfere na kum fix Lissu!
Kwenye vita Kuna battle tactics ( concealment and camouflage), ili ushinde ubweki bweki hovyo kama mbwa mwenye kichaa,!
Wengi hapa sababu ya upeo mdogo wanadhani nina chuki na Mhe.Tundu Lissu!
Mimi shida yangu ni ukurupukaji na uropokaji wake tu!
Si mtu wa kujipa muda kutafakari mambo na kuchukua hatua makini!
Tundu Lissu ni attention Seeker tu!
Wewe hujaelewa hoja yangu!
Mimi sipangani na facts bali approach ya Mhe.Tundu Lissu katika jambo hili!
Bado liko kwenye very early stage mno ! Hakuwa na sababu ya kuita Press kwa sasa bali angekuwa mtu makini angejipa muda kwanza kufuatilia hiyo case ili kuweza kupata data za kutosha za kumwezesha ktk case yake endapo ataamua kumfungulia yeyote yule!
Sasa hapa Tundu Lissu anakurupuka mithili ya Mwajuma kandambili wa uswazi!
Wewe umeongea jambo kwa mizani nzuri.
Jamaa wa unyamwezini ng'ambo hawawezi kukubali kampuni yao kubwa MIC ipoteze pesa nyingi kirahisi hivyo.
Acha Lissu atumie fursa hii kisiasa atapata kitu flani kisiasa.
Lisu hayuko sawa kiakili kwa sasa...
Nina uhakika huyu hajaelewa mada.Umeongea ukweli mkuu yule hat ubunge haumfai kila kukicha kutetea mabeberu na kuna mazombi yanamshangilia.
A hypocrite at your finest, all these blah blah whilst your head has space for Lissu issues. So pathetic.Unfortunately that’s just your opinion of me, but that doesn’t define me.
That’s just your psychological thinking of me.
Halikadhalika katika kujiongeza kwangu, sifikirii kabisa kuhusu how econonist wa JF thinks of my development. .
I won’t even remember what we argued about two weeks ago if we were on the same page or in disagreement. I have so much to worry in life than live with JF debates in my mind.
Good for you if your head has space for that.
Kabisa amekurupuka sana, hana subira.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Huna hoja na wewe ni mkurupukaji na mropokaji tu kama Mhe.Tundu Lissu!
Mawazo na mikakati ya Lissu imeshajulikana!
Yeye ameshaona atashinda kesi ya mabilioni dhidi ya Tigo na Serikali na hatimaye kukamata Ndege zetu kwa ajili ya malipo yake! Very Stupid reasoning toka kwa mtu mwenye hadhi ya Lissu!
Muhimu wajulikane tuHawawezi kuchukuliwa sheria yoyote,wahusika ndiyo haohao(system) sasa watajichukuliaje sheria wenyewe?
Kabisa amekurupuka sana, hana subira.
Sidhani kama msingi wa kesi utategemea huyo white men kushinda au kushindwa. Nadhani cha msingi kwa Lisu ni ule ushahidi ambao yule amepeleka mahakamani na Milicom hawajaukana isipokuwa wamekuwa silence na utetezi wao ikawa kwamba jamaa alipewa redundancy ya kawaida. Soma vizuri the Gurdian ya UK na magazeti mengineNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Wewe nae umekurupuka kuleta mada bila kuelewa. Kaeleza kuwa baada ya wakili wake Mr Amsterdam kupenyezewa habari hizi, wakili huyo alituma mawakili kwenye kesi hii na wakachukua nyaraka zote muhimu ambao ndio ushahidi. Kaeleza zaidi kuwa, katika shauri hili, Tigo haikukanusha kutoa habari hizo kwa Serikali ila, hoja ni kuwa Michael Clifford hakufukuzwa kazi kutokana na utoaji wa taarifa hizo. Hivyo, uwe unasikiliza vitu na kuvielewa kabla ya kuleta ujuaji.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Unfortunately that’s just your opinion of me, but that doesn’t define me.
That’s just your psychological thinking of me.
Halikadhalika katika kujiongeza kwangu, sifikirii kabisa kuhusu how econonist wa JF thinks of my development. .
I won’t even remember what we argued about two weeks ago if we were on the same page or in disagreement. I have so much to worry in life than live with JF debates in my mind.
Good for you if your head has space for that.
"anashirikiana kukamata ndege zetu" amawezajeNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!