Kutofautiana mawazo au kupingwa mtu anapokosea nijambo sahihi hatakama mtu huyo aliwahi kukusaidia!
Hoja ya mtu kutukanwa ikowapi mbona kunawatu wajinga sana!! Mbowe/Lissu hugombana hata namke wake zao,ndugu zao...sasa sembuse wao Kwa wao? Ebo!!
mtu akikusaidia asiwe mkoloni na wewe ukawa mtumwa milele. kwasababu hata yeye anaweza kusaidiwa vilevile na wengine. msaidizi ni Mungu, wengine vitendeakazi tu na hawastahili hata kupokea pongezi. ukila chakula kwa kutumia sahani huwa unaishukuru sahani iliyotumiwa kuweka chakula au unamshukuru mpishi na aliyekupatia chakula?
Mbowe ni dictator, mungu wa chadema, yeye anawaza pesa za chadema tu na maandamano ya sio kuwa na tija ili kupiga pesa, haiwezekani wote waliotoka na wanao gombana nae wote wana makosa, nadhani mwenye shida kubwa ni huyo Mungu Mbowe!