Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tusi lipo wapi? CCM mnahangaika na chadema na uchaguzi upo karibu mnafikiri ponya yenu ni utokee mpasuko chadema
 
Kutofautiana mawazo au kupingwa mtu anapokosea nijambo sahihi hatakama mtu huyo aliwahi kukusaidia!
Hoja ya mtu kutukanwa ikowapi mbona kunawatu wajinga sana!! Mbowe/Lissu hugombana hata namke wake zao,ndugu zao...sasa sembuse wao Kwa wao? Ebo!!
 
mtu akikusaidia asiwe mkoloni na wewe ukawa mtumwa milele. kwasababu hata yeye anaweza kusaidiwa vilevile na wengine. msaidizi ni Mungu, wengine vitendeakazi tu na hawastahili hata kupokea pongezi. ukila chakula kwa kutumia sahani huwa unaishukuru sahani iliyotumiwa kuweka chakula au unamshukuru mpishi na aliyekupatia chakula?
 
Lisu hajamtukana mbowe na hawezi .
Nimefungua taarifa yako haifanani na headline.
 
Mbowe ni dictator, mungu wa chadema, yeye anawaza pesa za chadema tu na maandamano ya sio kuwa na tija ili kupiga pesa, haiwezekani wote waliotoka na wanao gombana nae wote wana makosa, nadhani mwenye shida kubwa ni huyo Mungu Mbowe!
 
Back
Top Bottom