Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
 
Na ndio maana watanzania wanasema sasa basi. Rais ni uyu huyu.
 
Pamoja na kwamba alichofanyiwa si kuchekea lakini asahau kura za huruma eti kisa alishambuliwa!

Ikulu hapelekwi mtu kwa kuonewa huruma.

Kwenye suala la urais apambane na hali yake
 
Mburula kama wewe sijui kwa nini ulizaliwa?
Hahahha... Ni kawaida mbulula kama mimi niwepo ili mwerevu kama wewe uwepo pia!

Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Lisu atapigwa kipigo kikali sana hapo oktoba
 
Ubarikiwe sana mkuu lee van cliff.
 
Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
Wanao kufa hivyo vifo wanakuwa wameitwa na mwenyezi Mungu aliye waumba na ndiye yeye anaweza kuwaondoa duniani.

Lkn habari za mwanadamu mwenzako kuamua akuondoe duniani huo ni uharamia na haukubaliki.
 
nadhani hukubaliani naye "vitu vingi" kwa vile hujatulia kumsikiliza na kumwelewa.

Lissu ana madini na ni madini yenye logic na majibu ya maswali mengi kwa nini nchi hii imeendelea kuwa masikini pamoja na kuwa among the top 3 kwenye utajiri wa mali asili barani.
wenye akili kubwa na hata ndogo pia wanamwelewa sana Lissu.... wasiomwelewa ni wale wenye maslahi na wakoloni weusi.
 
Mkuu nachukia dhuluma, na siwezi kuwa upande wa watu wenye roho ya shetani. Nipo tayari kufa kwa njaa lakini sitanyosha mkono wangu kudhulumu haki ya mtu mwingine.
Hakika nimekuona wewe ni mtu tofauti sana hasa kwa kipindi hiki tulicho nacho maana kwa hiyo id yako ulitakiwa uwe kwenye bus la ndiyooo mzee!
 
Pamoja na kwamba alichofanyiwa si kuchekea lakini asahau kura za huruma eti kisa alishambuliwa!

Ikulu hapelekwi mtu kwa kuonewa huruma.

Kwenye suala la urais apambane na hali yake
Umechelewa sana maana tayari Watanzania washafanya maamuzi yao tayari na 28.10.2020 wanenda kutimiza tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…