kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ambacho hukubahatika kukijua enzi hizo Lisu alikuwa mwanachama wa NCCR mageuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishule ni mdogo wako au mdogo wake ,ilboro mmecheza uwanja washule mpira pamojaNikweli CCM mtu wa calibre hii tulukuwa nae mmoja tuu, ni JPM!, na ikatoea Lissu ni zaidi ya JPM, na hata waliomshauri Lissu kugombea na JPM baadhi yao ni wana CCM Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Ni kweli sio tuu tuliandika, bali pia tuliwataja hao wasiojulikana Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana na wengine wetu tukajitolea kuisaidia serikali yetu kama ni kweli haiwajui! WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? na tulipoona kimya
watu wote wenye jicho la tatu, wanawajua na tukawakabili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! ukiona kimya, then unaelewa na unanyamaza!.
Tukamtia moyo Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
Naunga mkono hoja, huyu jamaa anaonewa sana, kwa kadri wanavyomdhibiti ndivyo umaarufu wake unavyozidi kupanda, anaweza kabisa kufikia ile stage ya "Jiwe Walilo likataa waashi...."!.
P
Wewe ni msukule hunaga akiliMi Huwa nacheka sana navyoonaga chadema m avyojifariji kila siku. Anyway hii ni haki yenu ili muishi maisha marefu kujifariji kunaruhusiwa
Tuweke kumbukumbu sawia,Uko sahihi, hata kipindi chama cha KANU hapo Kenya kinatawala nchi hiyo kwa mabavu, wapambe wake walikuwa wanawaambia wapinzani hivi hivi.
Mimi ni big brother wake, nikiwa A level yeye alikuwa O level.Kishule ni mdogo wako au mdogo wake ,ilboro mmecheza uwanja washule mpira pamoja
Not 2025 labda 2030!. Kwa sisi tunaojua the geopolitics za nchi yetu na political dynamics za siasa zetu, kwa uchaguzi wa 2025, the time left is too little too late!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Lissu anaenda kuwa Rais 2025, watanganyika hatutaki kutawaliwa na mtu wa kuazima
Wasema not 2025 labda 2030!Not 2025 labda 2030!. Kwa sisi tunaojua the geopolitics za nchi yetu na political dynamics za siasa zetu, kwa uchaguzi wa 2025, the time left is too little too late!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Mama amejipangaje?Zinamjenga kuliko kumbomoa
Tundu Lissu ni zaidi ya shujaaLisu ni shujaa wa Taifa, awamu ile wakati kila mtu akitetemeka na kuvuja jasho wanaume kwa wanawake, ni yeye pekee na sheikh ponda walibaki imara.....hawa ndio mashujaa, Lisu atabaki kuwa shujaa
Tumeshaandaa mitamba ya ng’ombe, mbuzi, kuku majogoo sherehe ni 2025 na 2035. Dr Samia oyeeee!! CCM oyeee!!! Piga kererer woyo woyo woyooooooooo! Wenye wivu wajinyonge mapema!
Mwisho wenu umefika. Bila tume huru ya uchaguzi hamna upinzani kuingiza timu uwanjani.Tumeshaandaa mitamba ya ng’ombe, mbuzi, kuku majogoo sherehe ni 2025 na 2035. Dr Samia oyeeee!! CCM oyeee!!! Piga kererer woyo woyo woyooooooooo! Wenye wivu wajinyonge mapema!
Huyu mama anashauriwa na akina Hadija Kopa nini maana anayofanya hayaingii akilini hata kwenye akili ya panzi. Taifa linapoongozwa na vichwa vya panziii matokeo yake ni haya.Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma ya maisha yao kwa kukataa kuhama kwenye maeneo yao kuwapisha wawekezaji. Tundu Lissu kipindi hicho hakuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
(I'm sorry to say this, ndani ya CCM hamna mtu mwenye uwezo, kaliba na udiriki wa Tundu Lissu)
Ilipoingia awamu ya nne ya Daktari wa Filosofia, ndugu Jakaya Mwisho Kikwete, mwanadiplomasia mbobevu, mwanajeshi aliyetembea kwa Miguu kutoka Monduli hadi Arusha kukanusuru karoho kake kadogo, alikutana na muziki wa Tundu Lissu, na anamjua vyema.
Kikwete alisema CHADEMA kuna mtu mmoja tu wa kumu watch throughout. Naye si mwingine, ile ni yule, King of the Kings, Tundu Lissu.
Alipoingia Magufuli, na aibu ikaingia nchini. Tundu Lissu akapigwa risasi za kutosha. Akapewa kesi za kutosha. Alipopigwa risasi makanisani tukakatazwa tusimuombee apone haraka. Magu hakuyapenda maombi ya kumuombea Tundu Lissu, walio print ma T Shirt ya kumuombea mshikaji waliishia jela a.k.a mbaroni au waweza ita korokoroni.
Utawala wa Magufuli ukahusishwa na tukio la shambulio la kaka Tundu Lissu. Hapa JF yaliandikwa mengi na mawili wengi.
Mshana Jr, aliandika yake, kaka yangu Nsumba Ntale Pascal Mayalla akaandika yake. Nyani Ngabu akaàndika waraka wake wa Ikungulyabashashi.
Hamna aliyependa yaliyomtokea Tundu Lissu utawala wa Mkatoliki Yohana.
Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, ataisikia Ikulu kwenye radio na TV tu kama hawa marehemu Mtikila au Maalim Seif Sharrif Hamad. Kupigwa risasi 16 siyo sifa ya kuwa RaisHuyo ni Rais ajaye tuombe uhai.
Hatutaki kutawaliwa na mtu wa kuja(kukopa)Not 2025 labda 2030!. Kwa sisi tunaojua the geopolitics za nchi yetu na political dynamics za siasa zetu, kwa uchaguzi wa 2025, the time left is too little too late!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Tanzania ni nchi moja ya JMT, na uraia wa Tanzania ni uraia mmoja wa JMT, unaowahusisha Watanzania wote na raia wote wa JMT wana equal status, hakuna uraia wa wenyewe au wenyeji na uraia wa watu wa kuja, wote ni Watanzania sawa na wana haki sawa ikiwemo kutawala na kuteuliwa kuongoza popote!Hatutaki kutawaliwa na mtu wa kuja(kukopa)
Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma ya maisha yao kwa kukataa kuhama kwenye maeneo yao kuwapisha wawekezaji. Tundu Lissu kipindi hicho hakuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
(I'm sorry to say this, ndani ya CCM hamna mtu mwenye uwezo, kaliba na udiriki wa Tundu Lissu)
Ilipoingia awamu ya nne ya Daktari wa Filosofia, ndugu Jakaya Mwisho Kikwete, mwanadiplomasia mbobevu, mwanajeshi aliyetembea kwa Miguu kutoka Monduli hadi Arusha kukanusuru karoho kake kadogo, alikutana na muziki wa Tundu Lissu, na anamjua vyema.
Kikwete alisema CHADEMA kuna mtu mmoja tu wa kumu watch throughout. Naye si mwingine, ile ni yule, King of the Kings, Tundu Lissu.
Alipoingia Magufuli, na aibu ikaingia nchini. Tundu Lissu akapigwa risasi za kutosha. Akapewa kesi za kutosha. Alipopigwa risasi makanisani tukakatazwa tusimuombee apone haraka. Magu hakuyapenda maombi ya kumuombea Tundu Lissu, walio print ma T Shirt ya kumuombea mshikaji waliishia jela a.k.a mbaroni au waweza ita korokoroni.
Utawala wa Magufuli ukahusishwa na tukio la shambulio la kaka Tundu Lissu. Hapa JF yaliandikwa mengi na mawili wengi.
Mshana Jr, aliandika yake, kaka yangu Nsumba Ntale Pascal Mayalla akaandika yake. Nyani Ngabu akaàndika waraka wake wa Ikungulyabashashi.
Hamna aliyependa yaliyomtokea Tundu Lissu utawala wa Mkatoliki Yohana.
Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma ya maisha yao kwa kukataa kuhama kwenye maeneo yao kuwapisha wawekezaji. Tundu Lissu kipindi hicho hakuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
(I'm sorry to say this, ndani ya CCM hamna mtu mwenye uwezo, kaliba na udiriki wa Tundu Lissu)
Ilipoingia awamu ya nne ya Daktari wa Filosofia, ndugu Jakaya Mwisho Kikwete, mwanadiplomasia mbobevu, mwanajeshi aliyetembea kwa Miguu kutoka Monduli hadi Arusha kukanusuru karoho kake kadogo, alikutana na muziki wa Tundu Lissu, na anamjua vyema.
Kikwete alisema CHADEMA kuna mtu mmoja tu wa kumu watch throughout. Naye si mwingine, ile ni yule, King of the Kings, Tundu Lissu.
Alipoingia Magufuli, na aibu ikaingia nchini. Tundu Lissu akapigwa risasi za kutosha. Akapewa kesi za kutosha. Alipopigwa risasi makanisani tukakatazwa tusimuombee apone haraka. Magu hakuyapenda maombi ya kumuombea Tundu Lissu, walio print ma T Shirt ya kumuombea mshikaji waliishia jela a.k.a mbaroni au waweza ita korokoroni.
Utawala wa Magufuli ukahusishwa na tukio la shambulio la kaka Tundu Lissu. Hapa JF yaliandikwa mengi na mawili wengi.
Mshana Jr, aliandika yake, kaka yangu Nsumba Ntale Pascal Mayalla akaandika yake. Nyani Ngabu akaàndika waraka wake wa Ikungulyabashashi.
Hamna aliyependa yaliyomtokea Tundu Lissu utawala wa Mkatoliki Yohana.
Ukiwa kiongozi chagua washauri wanaoweza kukwambia hapana, tusipite njii hii ina mìbaHuyu mama anashauriwa na akina Hadija Kopa nini maana anayofanya hayaingii akilini hata kwenye akili ya panzi. Taifa linapoongozwa na vichwa vya panziii matokeo yake ni haya.