Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

Kishule ni mdogo wako au mdogo wake ,ilboro mmecheza uwanja washule mpira pamoja
 
Uko sahihi, hata kipindi chama cha KANU hapo Kenya kinatawala nchi hiyo kwa mabavu, wapambe wake walikuwa wanawaambia wapinzani hivi hivi.
Tuweke kumbukumbu sawia,

KANU iliondolewa bila kuwapo Katiba mpya Wala Tume HURU ya UCHAGUZI.

Muda wa CCM kuondoka ukifika wizi wao hautowasaidia.

NB. Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI.
 
Wasema not 2025 labda 2030!

Nakusoma “between the lines” wasema labda 2030.

Lakini si wafahamu kwamba CCM tayari imejipanga kwa 2025 na 2030?

Suala ni upinzani kumaliza asali na kuanza kucheza kombolela na CCM.
 
Tumeshaandaa mitamba ya ng’ombe, mbuzi, kuku majogoo sherehe ni 2025 na 2035. Dr Samia oyeeee!! CCM oyeee!!! Piga kererer woyo woyo woyooooooooo! Wenye wivu wajinyonge mapema!
Mwisho wenu umefika. Bila tume huru ya uchaguzi hamna upinzani kuingiza timu uwanjani.
 
Huyu mama anashauriwa na akina Hadija Kopa nini maana anayofanya hayaingii akilini hata kwenye akili ya panzi. Taifa linapoongozwa na vichwa vya panziii matokeo yake ni haya.
 
Huyo ni Rais ajaye tuombe uhai.
Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, ataisikia Ikulu kwenye radio na TV tu kama hawa marehemu Mtikila au Maalim Seif Sharrif Hamad. Kupigwa risasi 16 siyo sifa ya kuwa Rais

Urais wa Tanzania hauendi kwa wanaoutaka bali kwa walioteuliwa na Mungu.
 
Hatutaki kutawaliwa na mtu wa kuja(kukopa)
Tanzania ni nchi moja ya JMT, na uraia wa Tanzania ni uraia mmoja wa JMT, unaowahusisha Watanzania wote na raia wote wa JMT wana equal status, hakuna uraia wa wenyewe au wenyeji na uraia wa watu wa kuja, wote ni Watanzania sawa na wana haki sawa ikiwemo kutawala na kuteuliwa kuongoza popote!
P
 

View: https://youtu.be/GhqZIYKj1s8?si=1FKmkySgBk69ndrc
Sent using Jamii Forums mobile app
 

View: https://youtu.be/GhqZIYKj1s8?si=1FKmkySgBk69ndrc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…