Dogo inakuwaje wewe mkaldayoNdugai: Walimu waongezewe masomo ya kufundisha ili kukabiliana na uhaba wa walimu.
Labda wajinga wenzio. Mtoeni kwanza mbowe kakalia kiti miaka zaidi ya 20
Dogo inakuwaje wewe mkaldayo
Nimecheka balaaMzuka Semenya, kaa kwa kutulia![emoji276]
Condom moja ingeweza kuzuia takataka weweLabda wajinga wenzio. Mtoeni kwanza mbowe kakalia kiti miaka zaidi ya 20
Mbowe ni very smart leader, huwezi mfananisha na yule waliye mchoka mpaka kijijini kwake Chatel.Labda wajinga wenzio. Mtoeni kwanza mbowe kakalia kiti miaka zaidi ya 20
Chief naunga mkono hoja kama ifuatavyoo.Naam wana bodi!
Leo nimetafakari sana maneno na vitendo vya Speaker wa Bunge la JMT, ndugu Job Ndugai.Hivi huyu mtu anatuona sisi watanzania hatujitambui, tunamuogopa au anatuona wajinga? Haiwezekani mtu anachezea fedha zetu kuwalipa side chicks wake!! Hivi wale wabunge 19 wako Bungeni kupitia chama gani? Anachezea kodi zetu kuwalipa vidosho?..
Kamuuulize mwamba tuvushe anafaham kila kituu.Wajuzi wa Sheria na Katiba wanisaidie....
Usituletee taarabu kwenye maswali ya msingi.Kamuuulize mwamba tuvushe anafaham kila kituu.
Wajuzi wa Sheria na Katiba wanisaidie...
OvaWanamuwakilisha Ndungai