Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ushahidi wa makaratasi anao Mnyika katibu mkuu na amesaini. Na bila COVID 19 kupitia yule mbunge mmoja CHADEMA wangepokea chini ya milioni 5 kama ruzuku kwa mwezi. Idadi ya wabunge wa chama waliopo bungeni Wana play role kwenye kiwango cha ruzuku kwa mwezi pamoja na factors nyingine. Tafuta threads zake zipo humu. Ila ishu ya Mdee na wenzake ina Baraka za Mbowe na Mnyika Ila wafuasi mnachezewa akili tu. Ilishapangwa hadi ya kufukuzwa uanachama yote ni racket tu. Mwisho wa siku baraza kuu halitakaa ng'o na akina Mdee wanachangia milioni 1 kila mwezi jumla 19. Mil. 114+19 = mil.135 kila mwezi. Mchaga hajawahi kuniangusha kwenye swala la pesa.
Nasema hivi, weka ushahidi hapa wa hizo deposit slips kwenye account ya cdm. Na hiyo ruzuku haitokani na hao wabunge bali hao wabunge wa covid 19 wanatokana na wingi wa kura za urais. Kamati kuu walishakaa na kuwafukuza hao covid 19, wana ulazima gani tena wa kukaa kwa ajili ya suala hilo? Mchaga hajawahi kukuangusha kwenye suala la pesa hizo ni sweeping statement, sioni ni kwa vipi zinaweza kubeba hoja zako.