Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Ushahidi wa makaratasi anao Mnyika katibu mkuu na amesaini. Na bila COVID 19 kupitia yule mbunge mmoja CHADEMA wangepokea chini ya milioni 5 kama ruzuku kwa mwezi. Idadi ya wabunge wa chama waliopo bungeni Wana play role kwenye kiwango cha ruzuku kwa mwezi pamoja na factors nyingine. Tafuta threads zake zipo humu. Ila ishu ya Mdee na wenzake ina Baraka za Mbowe na Mnyika Ila wafuasi mnachezewa akili tu. Ilishapangwa hadi ya kufukuzwa uanachama yote ni racket tu. Mwisho wa siku baraza kuu halitakaa ng'o na akina Mdee wanachangia milioni 1 kila mwezi jumla 19. Mil. 114+19 = mil.135 kila mwezi. Mchaga hajawahi kuniangusha kwenye swala la pesa.

Nasema hivi, weka ushahidi hapa wa hizo deposit slips kwenye account ya cdm. Na hiyo ruzuku haitokani na hao wabunge bali hao wabunge wa covid 19 wanatokana na wingi wa kura za urais. Kamati kuu walishakaa na kuwafukuza hao covid 19, wana ulazima gani tena wa kukaa kwa ajili ya suala hilo? Mchaga hajawahi kukuangusha kwenye suala la pesa hizo ni sweeping statement, sioni ni kwa vipi zinaweza kubeba hoja zako.
 
Watu wanadhan chadema hawakupeleka majina tume,

Majina yalikwenda na mnyika alisain isipokuwa majina yaliopelekwa sio waliokwenda bungeni

Ilikuwaje mpaka wamekwenda watu tofauti story yote anayomdee

Weka majina yaliyokwenda yenye siani ya Mnyika tujiridhishe.
 
Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake .Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya
TL anapuuzwa na watu wasio na akili (CCM inaungwa na watu wajinga - utafiti wa TWAWEZA). Fuatilia hata hapa JF. Wengi wanaotetea mambo ya hovyo yanayofanywa na Serikali au Rais, wanaonekana ni watu wenye low IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumuombee Lisu na familia yake corona ubelgiji wanaumwa zaidi ya laki saba waliokufa hadi Leo ni zaidi ya elfu 20 muda wote anavaa barakoa Chadema mwombeeni Corona isije ondoka naye nimeota kafa na corona ubegiji
Unaweza kufa wewe kabla yake. Baadhi ya waliotaka kumua wapo mavumbini, Lisu bado hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..................................ni sawa na ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi.
 
Mwambieni awarudishie michango ya bukubuku watanzania aliowaomba kwenye kampeini
Kampeni zipi? Maana hakukuwa na uchaguzi Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani , wabunge wa CCM kulipwa mishahara wakati siyo chaguo la wananchi ndivyo vitu vinapingwa
 
Tundu Lissu ana matatizo ya akili
Angehoji kwanza chama chake kwa nini kinakula ruzuku itokanayo na uchaguzi haramu
Wewe umejuaje kama una Akili? Maana ungekuwa na Akili ungetambua kuwa Lisu anawalenga wabunge ambao siyo chaguo la wapiga kura Yaani wabunge uchakachuaji na wale wabunge wa pita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani
 
Lissu akae afanye maisha yake tu aachane na mambo ya siasa daa.
Ashukuru mungu alimwokoa ajifanyie mambo mengne uweezo was kusumbua serikali Hana atapata msongo wa mawazo bure
Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali mda wote hupaswi kumpangia kazi za kufanya
 
Tumuombee Lisu na familia yake corona ubelgiji wanaumwa zaidi ya laki saba waliokufa hadi Leo ni zaidi ya elfu 20 muda wote anavaa barakoa Chadema mwombeeni Corona isije ondoka naye nimeota kafa na corona ubegiji
Dua la mwewe hilo Lisu yupo kwingine mda yupo hapo Tanzania katulia anasoma jumbe zetu humu kaingia Tanzania kimya kimya kwa kutumia Chopa tokea Zambia
 
Watu wanadhan chadema hawakupeleka majina tume,

Majina yalikwenda na mnyika alisain isipokuwa majina yaliopelekwa sio waliokwenda bungeni

Ilikuwaje mpaka wamekwenda watu tofauti story yote anayomdee
Lisu hazungumzii wabunge wa kuteuliwa yeye kakomaa na wabunge wa uchakachuaji wale wabunge wa uchaguzi haramu wa uchakachuaji ambao siyo chaguo la wapiga kura
 
Kuna Aina nyingi za wabunge huko Bungeni wakiwemo wale wa kupewa ubunge tokea kwenye viti 10 maalum vya Rais, Lisu hana Tatizo na wabunge wa kuteuliwa, shida ipo kwa wabunge waliopita bila kupingwa na wale walioiba kura kwa kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter:

Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.
Tulia wewe shoga,mbona unalipwa pesa za walipa kodi wa Ubeligiji bila kufanya kazi yoyote ya kuiingizia serikali yao pesa. Kusanya ushahidi wote halafu ukashitaki ICC kama unavyowadanganya kila siku vilaza wa CHADEMA
 
Hu
Ukipewa ubwabwa kichwa chako ni sawa na mfuko wa kubebea meno. Unawezaje kutaka mchago wakati CAG kakwambia Trillion 1.5 watu wamepiga na umekaa kimya. Kwa hili bima akili yako kama ipo sawa
Hujui lolote kuhusu 1.5b, kaa kimya usiwe mropokaji wa kukaririshwa na akina Shoga Lissu
 
Hu

Hujui lolote kuhusu 1.5b, kaa kimya usiwe mropokaji wa kukaririshwa na akina Shoga Lissu

Ukisikia lissu unapata msongo wa mawazo!!!

CAG ni lissu nchi hii!! Tatizo ni ubwabwa unakualibu kichwa !!

Alafu eti 1.5b sio billion ni Trillion 1.5

Hopeless
 
Ukisikia lissu unapata msongo wa mawazo!!!

CAG ni lissu nchi hii!! Tatizo ni ubwabwa unakualibu kichwa !!

Alafu eti 1.5b sio billion ni Trillion 1.5

Hopeless
Ok 1.5T unajua imepotelea wapi? Sema unakuharibu siyo unakualibu, hata kuandika kiswahili tu hujuii. mburura wewe
 
Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake. Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya.
Unafiki kuna siku utakutokea puani we lumumba
 
Back
Top Bottom