Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Maandamano hayafanywi na mtu mmoja.
Nadhani umeuona sasa msimamo wa watanzania walio wengi, kwanza wamekataa kulinda Kura vituoni pili wamekataa kwenda barabarani kuandamana wakati wanajua waliye mchagua ni nani.

Ndo ujue kuwa watanzania si wajinga na hawashikiwi akili kiasi hicho.
 
Nadhani umeuona sasa msimamo wa watanzania walio wengi, kwanza wamekataa kulinda Kura vituoni pili wamekataa kwenda barabarani kuandamana wakati wanajua waliye mchagua ni nani.

Ndo ujue kuwa watanzania si wajinga na hawashikiwi akili kiasi hicho.

Ona aibu kusema watanzania, 2/3 ya watanzania hawakupiga Kura. Na hiyo 1/3 wote hawakumpa Magufuli, achia mbali kura za kwenye mabeg tulizoona kwa macho yetu. Watanzania sio kwamba wameridhika, ila ni waoga wa kupigwa risasi, kwa maagizo ya viongozi madhalimu.
 
Wewe ndio uone aibu, watanzania Kama kweli walimchagua Lissu kwa wingi huo kisha kura zao kupewa Magu wasingesita kuingia barabarani.

Tusidanganyane hapa mkuu watanzania wamemkataa huyo unaye muita shujaa. Wamempuuza yeye pamoja na maagizo yake yote mchana kweupe.
 

Ni hivi, 2/3 ya watanzania hawakushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
 
Ni hivi, 2/3 ya watanzania hawakushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Dooh!! Nimecheka sana mkuu, hivi kwani tangu lini na ni uchaguzi upi ambao watu wote walio jiandikisha wakapiga Kura?

Na hata Kama hawakupiga wote basi hao walio piga maamuzi yao yaheshimiwe mana hakuna aliye wakataza hao wengine kupiga kura.

Na nakumbuka Kuna siku uliwahi kusema humu kuwa huto piga Kura basi nadhani wewe pia ulichangia huyu mgombea wetu pendwa kupata Kura ml 1 ulimpuuza Kama walivyo mpuuza wengine.
 
Kura za wizi tumeziona kwa macho yetu.
 
Mkuu unahangika na vilaza sana , kura milion 12 Kwa million 1 , yaan uibiwe kura milion 11 zote , tunadanganyana kweupe kabisa , ndo mana hata wazungu wanaona nothing kuingilia uchaguz , yaan uibiwe kura 11 milion how comes....wananchi wamempiga chini Tu huyo TL ukweli ambao hawataki kuusikia
 
Kwanza aanze yeye na mkewe na wanae,labda atawaingiza barabarani Wabeligiji lakini sio Watanzania,hana ushawishi huo.
 
Almost wote wanaodai kutakuwa kulikuwa na wizi wa kura ukimuuliza kama alipiga kura anadai hakupiga kwa sababu alijua hata angepiga kura yake isingebadili chochote. Sasa hapa ndo unazishangaa akili za wapinzani wa nchi hii, kura haujapiga ila unategemea mgombea wako ashinde! Nani amchague sasa wakati wewe umemsusia? Hawa watu mambo yao mengi hayamake sense
 
Hawezi kushinda, BELIEVE ME; let us wait 4 da results tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…