Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Kama kubet kupo ntabet Magufuli kushinda majority kihalali, hata kama pesa sina ntauza baiskeli yangu.
 
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.

amesema akiibiwa ,, ni kiswahili lakini huelewi
 
Wewe si ndugu Yake? Mtakaa mbele
Uoga ni aibu.
Nyerere, Mandela, Kenyata, Mugabe, Amilca Cabral, Martin Lutherking Jr, Fidel Castro etc wangekuwa waoga kama wewe tungekuwa bado tunanyanyasika.
Eee Mungu tunaomba uwaepushe wanao na vizazi vyao na uoga wa aina hiyo.
AMEN
 
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Kijana wa mabeberu kaja na mpango toka kwa mabeberu
Hakika waTanzania hatutompa nafasi kwa mipango kama hii
 
Huyo ana nguvu za ziada ili aweze kufanya kazi ya ziada katika kuwaongoza watanzania kuleta mabadiliko.

Huyu ni mteule kwa lengo la kufanikisha mabadiliko kwahiyo wanadamu wanaojaribu kumpinga/kupambananae, wajue hawatamuweza.
 
Tuwekee link mkuu
CCM na vyombo vyao vya habari pamoja na TCRA ni wajinga sana . Lissu Leo kaanza kumvua nguo namba moja Eti wamekata matangazo yote ya Live streaming!!

Hivi hawajui kwa hujuma wanazomfanyia Lissu eti watu wasimsimilize ndo wanazidi kumfanya apendwe zaidi na watu waone kuwa anaonewa hivyo wawe tayari kumtetea kwa gharama yeyote ile???

Kweli sikio la kufa halisikii dawa!!!
 
JPM kwa kweli anza kusaka wanasheria wako huko mahakamani kwa mapingamizi- Mtanange ndio kwanza umeanza- sijui ni nani wa kupita bila kupingwa kati yenu- JPM au Lissu... figusu basi...Uchaguzi huu raha sana
 
Back
Top Bottom