Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Wezi wa kura mwaka huu wataumbuka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wenu wa vyama pinzani wana waaminisha kuwa hakuna jema linalotenda na viongozi waliopo...Wezi wa kura mwaka huu wataumbuka sana.
Teh teh teh!Polisi walipiga ban mapokezi ya Lissu uliona kilichotokea?
Nyie endeleeni kupuuza lakini waTz wamechoka
Lissu hazuiliki mazee, hata risasi zaidi 38 zilishindwa kumnyamazisha sababu MWENYEZI MUNGU ALIE HAI yuko upande wake siku zote.
Joined july 26 2020Viongozi wenu wa vyama pinzani wana waaminisha kuwa hakuna jema linalotenda na viongozi waliopo...
Uchu wa madaraka umewajaa tunaongea Ila mwishowe baada ya uchaguzi utasikia tumeibiwa kura[emoji1787][emoji1787]
Naona siku hizi mataga mmeanza kuwa waungwana, sijasikia mkikemea Yule aliyesema" nikupe mshahara alafu umtangaze mpinzani mshindi"Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Watanzania ni wana wa Israeli,na Magufuli ndo Mussa wetu.
Nyinyi ni kizazi cha farao wanyanyembe Mungu atawaangamiza hamtoamini.
Huyu ndo tunamtaka mzalendo wa kweli npigania haki za wanyonge historia inambeba tangu enzi hizo, wakati Yule uchwara akiwa analamba viatu vya watawala ili ashibeHapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.
Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.
Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
Mkuu trust me, kwa aina ya siasa za Lissu itakuwa more worse. Kidogo siasa zitachangamka lakini kama hawatampa timu nzuri inayomjua madhaifu yake wamshauri tena wasiomuogopa inaweza kuwa disaster achana watu kujipa moyo humu.Kwa siasa za Magufuli Lisu ndio saizi yake.
Kuna wakati akili zinakurudiaMkuu trust me, kwa aina ya siasa za Lissu itakuwa more worse. Kidogo siasa zitachangamka lakini kama hawatampa timu nzuri inayomjua madhaifu yake wamshauri tena wasiomuogopa inaweza kuwa disaster achana watu kujipa moyo humu.
Kama umesikiliza hotuba zake toka afike utaona madhaifu makubwa kisiasa, naona wengi wanaleta tu ushabiki na ufuasi lakini uongozi wa Chadema wasicheze tune za wafuasi wao ambao walimpigia deki hadi Lowasa na kuzungurusha mikono na hawakusikia tuliyowaonya.
Wamstadi mgombea wao madhaifu yake na kumpa timu makini kumdhibiti aache mihemko apangilie maneno yake vizuri maana huko site sio uwanja wa mahakama.
JPM tayari ana rekodi kupitia awamu yake ya kwanza na huko site kazi yake imekubalika sana tofauti na mbwembwe za huku mitandaoni. Lissu ana kazi kubwa kuonesha kwanini awe mbadala na aweze kufuta dhana za kutafuta huruma kupitia shambulio lake.
Lakini tusisahau pia kama Membe hatoungana na Lissu litakuwa pigo kubwa zaidi kwa upinzani.
Hii kufungua nyuzi kibao humu na kujifariji kuwa upepo umebadilika wataumia na kurudi kwa aibu kubwa baada ya October, kura zipo huko ground sio mitandaoni wanakojaza kelele utafikiri zitageuka kura.
Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Hivi mlimzika wapi Ben Saanane ninyi mumbwa?Mnaota ndoto, muulize mbowe alivyokimbia siku ya akwilina, utafikiri mwanariadha wa kenya.
Likes Kama zote mamaeeeee likes 105 vs 35 hii ni poll ndogo kwamba JPM hakubaliki Tena miongoni mwa watanzania.Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Kwa hiyo mkuu unataka hata kama ameibiwa kura akae kimya tu?Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Usalama ni kwa ajili ya watu wote,haijalishi ni kiongozi au yeyote kichaa.Kauli hatari kwa usalama wa nchi au kwa viongozi walio madarakani?
Busara ya fisiemu inakuaga juu sana wkt kama huu hasa wakiona upepo unaelekea kuwakataa,sijui mtapiga tena push up safari hii.Nakumbusha tu miongoni mwa ahadi hewa mlizotupa 2015 ni laptop kwa kila mwalimu nchi nzima,milioni hamsini kila kijiji bado tunasubiri wiki zilizobaki nafikiri zitatosha kutekeleza ahadi zenu.
Wale walioenda kumpokea na kufunga road na kusimamisha Dar kwa muda ndo hao watakaoenda mtaaaniAanze yeye na mke wake kuingia barabarani wamalizie kazi. Anajua kabisa hawezi kushinda
Hata mimi, nilisha give up kupiga kura tena. Lakini sasa nipo tayar kusimama kwenye foleni.Tundu Lissu ni miongoni mwa nembo za taifa na tunu zinazopaswa kulindwa alichozungumza leo sitashangaa hata CCM wenyewe kumpigia kura 28 October 20 nimepata nguvu ya kwenda kupiga kura.
#NI YEYE