Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
naona upinzani unaweza kuchukua Nchi kama watafanya mambo kadhaa.
haya nitayasema siku nikionana na Mbowe.
lakini ki uhalisia kwa hali ya sasa Upinzani kuchukua Nchi ni bado Sanaa na mapema mnoo..
Binafsi sipendi lakini na UHAKIKA 2020-2025 Ni Magufuli tena
swala la Nani atagombea upinzani
hilo bado ni confidential lakini kwa Lowassa hapana yule kashapoteza tenaa
namuona Mbowe&Lissu
lakini wote naona bado wana pwaya
Mwana CCM,unashauri CDM.....
Unatakiwa uwashauri CCM
Mkuu, hizo facts ulizoandika hazielezei ubora wa mtu kama kiongozi wa kitaifa ama la. Hizo facts ziko very shallow kulingana na context nzima ya cheo kama cha Uraisi. Raisi bora anapaswa afanye nini, then hayo anayopaswa kuyafanya yalitakiwa yalinganishwe na uwezo wa TAL akipimwa kwa vigezo vya uongozi wake katika siasa na TLS. Mambo uliyoandika ni vijembe vya kwenye taarabu na kwa wasomaji makini tunaona una expose your ignoranceNdio maana kuna wapiga kampeni ambao wanawasaidia hao wapiga kura kuchagua kilicho bora
wewe ni qumer sana!Kutafta uenyekiti tu alipewa pyupyupyuu
Mjini
Sasa kwenye urais nadhan atapewa buuuu buuu buuum
Haya
Anataka urais wa wasafi mond anamaliza muda 2020
Namshaaga sana lisu anamuogopa mbowe kuliko raisi wa jamhuri, bila shaka mbowe ni mtu hatari sana. Sasa kama anamuogopa na kumyenyekea mbowe kiasi hiko, ataweza uraisi kweli, jibu ni no, aanzie kwanza umwenyekiti chadema then akitoboa ndo tuone
Mbona wewe unamshauri Rais wa CCM na CCM?
Sure nyie mna mungu, lakini Lissu ana MunguWewe endelea kuota tu, sie tunawaza namna ya kumuongeza muda baada ya miaka kumi nyie eti mnawaza half time!! Nyie endeleeni na matunguli ya zzk tu sie tuna mungu
labda alishinda njaa sio uraisUchaguzi wa 2015 alishinda Lowassa tena Kwa kura nyingi lkn hilo halisemwi na waoga (ccm)
Kwani Jiwe alianzia uenyekiti CCM?Namshaaga sana lisu anamuogopa mbowe kuliko raisi wa jamhuri, bila shaka mbowe ni mtu hatari sana. Sasa kama anamuogopa na kumyenyekea mbowe kiasi hiko, ataweza uraisi kweli, jibu ni no, aanzie kwanza umwenyekiti chadema then akitoboa ndo tuone
Hawa wawili wa chini waondoe wawe Tim ya lissu ili kuunganisha nguvu ya kuvunja jiwe.TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Nimesoma habari ya gazeti la Mwananchi kuhusu swala la Lissu kujiandaa na Urais 2020 hivyo kufanya idadi ya wagombea waliokwisha kutangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chadema kinyume kabisa na miongozo ya chama hicho kwa watia nia wake kuwa wawili mpaka sasa yaani Lissu na Lowassa.
Miongozo ya CHADEMA inawataka watia nia wa Urais kutangaza nia hiyo mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu ili kuepusha mpasuko ndani ya Chama. Aidha yuko Mbowe nae anataka kugombea Urais ila hatangazi ili apate nafasi ya kuwaengua wanaotangaza mapema wakati ukifika.
Kwa tunaomjua Lissu tunaamini kabisa kuwa hawezi kuwa kwenye nafasi kubwa kama Urais kwa sababu kubwa kuwa hayuko settled. Lissu anapaswa kuwa na chombo au mtu wa juu yake kumdhibiti. Lissu ni kama Lema, Wenje na sampuli hizo. Ni waongeaji, wakosoaji na wakitumwa kusemea jambo wana uwezo mkubwa wa kufanya.
Udhaifu wao mkubwa ni kwamba hawawezi kukaa kwenye kikao dakika 20 bila kutoka nje. Wako mbio mbio muda wote. Hawana ubunifu wao ni watekelezaji tu, ni watu wa visasi na makundi, wamekubuhu kwenye fitina hawa wote ndio walimpoteza Lytonga Mrema kwa kumgombanisha na wenzake akina Marando sasa wameshamgombanisha Mbowe na waliokuwa wapenzi wake akina Zitto, Dr. Slaa sasa wanataka Urais.
Dhambi kubwa ya Zitto na Dr Slaa CHADEMA ilikuwa ni kutangaza kugombea Urais. Waliosimamia mkakati wa kuvunja ndoto zao ni hawa vijana wa Lytonga Mrema waliotoka nae NCCR kwenda TLP halafu wakamtelekeza kule na kukimbilia CHADEMA. Kwasababu ni wabaguzi dhambi ile hawajawahi kuiacha ni sawa na kula nyama ya mtu.
Mimi binafsi namuunga mkono Lissu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu ndio pekee ninayemuona ana ujasiri wa kupambana na Mbowe japo hana mkakati. Simuungi mkono kwa sababu yeye atakuwa mwenyekiti mzuri kuliko Mbowe la hasha ila atavunja mwiko na kufungua mlango uliofungwa miaka mingi wa kupokezana vijiti ndani ya CHADEMA.
Aidha Lissu atatoa changamoto kwa siasa za upinzani nchini na kuzinogesha. Nampa tahadhari Lissu kuwa kama amesharubuniwa na Mbowe kuwa ataachiwa Urais na yeye aachie uenyekiti ameshashindwa kabla ya kuanza.
Kwa sasa Lissu focus kwenye Uenyekiti wa CHADEMA kwanza Urais unakuja tu wenyewe.
Nakutakia uponaji wa haraka Kamanda
Kamwe huyo hafai kuwa rais.
Ataishia kuuona urais wa TLS tu.