Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo
Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM kuwa ndiye alimlipia ukumbi wa Mlimani City wakati anatangaza kugombea Uenyenyekiti
Soma pia: Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha
"Nilisikia wanasema Msigwa amelipia ukumbi Mlimani City.Tukawaambia jamani si mnaona watu wanaochangishana walipie ukumbi. Haya maneno ya Msigwa ni maneno ya bure kabisa. Ni maneno ya uongo mtupu. Mimi nimesema sijamkana Msigwa ni rafiki yangu wale waliokuwa rafiki zake wa beneath wakamtengenezea mazingira mpaka ya kupita uchaguzi bila kupingwa mara mbili"