Waandishi machawa..waandishi wa habari wana maswali ya kitoto sana.
..badala ya kuuliza maswali mazito yatakayom-challenge mgombea wanauliza upuuzi mtupu.
..uwezo mdogo wa waandishi wa habari wa Tanzania, unaididimiza nchi yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi machawa..waandishi wa habari wana maswali ya kitoto sana.
..badala ya kuuliza maswali mazito yatakayom-challenge mgombea wanauliza upuuzi mtupu.
..uwezo mdogo wa waandishi wa habari wa Tanzania, unaididimiza nchi yetu.
Ondoa hayo ya "mahaba" ambayo nayo yanakufanya wewe uonekane kuwa huna weledi. Ume yatoa wapi hayo mahaba; kwani watu hatuwezi kujadili jambo bila ya kuweka mahaba unayo yakimbilia wewe? Ume jiridhisha vipi kuwa tunasukumwa na mahaba kuwa na msimamo juu ya hilo swali?Mahaba ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania
Pole sanaOndoa hayo ya "mahaba" ambayo nayo yanakufanya wewe uonekane kuwa huna weledi. Ume yatoa wapi hayo mahaba; kwani watu hatuwezi kujadili jambo bila ya kuweka mahaba unayo yakimbilia wewe? Ume jiridhisha vipi kuwa tunasukumwa na mahaba kuwa na msimamo juu ya hilo swali?
Mengine yanabaki vile vile kama nilivyo yaeleza hapo juu.
Swali halikuwa zuri toka kwa mwandishi anaye juwa kazi yake vizuri.