Ondoa hayo ya "mahaba" ambayo nayo yanakufanya wewe uonekane kuwa huna weledi. Ume yatoa wapi hayo mahaba; kwani watu hatuwezi kujadili jambo bila ya kuweka mahaba unayo yakimbilia wewe? Ume jiridhisha vipi kuwa tunasukumwa na mahaba kuwa na msimamo juu ya hilo swali?
Mengine yanabaki vile vile kama nilivyo yaeleza hapo juu.
Swali halikuwa zuri toka kwa mwandishi anaye juwa kazi yake vizuri.