Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ushauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki, kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.
Tatizo lao wanawaza kwa kutumia mavutu badala yá kichwa.Ila hii nchi inaharibiwa na UVSISEM....kwahyo kufanya kazi kwenye hiyo kampuni ni kurubuni Taifa??
Asubuh asubuhi na hizi drama huwa nachoka mimi jmn
Umesikika.Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mrefu
Unaleta sana maendeleo. Ila nyinyi wauaji kila siku unaona jinsi mnavyotumia vyombo vya dola kuzima wanayoyafanya kuwakamata,kuwafunga,kuwapiga risasi n.k.Ushauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.
Lisu anaropoka sana.Unaleta sana maendeleo. Ila nyinyi wauaji kila siku unaona jinsi mnavyotumia vyombo vya dola kuzima wanayoyafanya kuwakamata,kuwafunga,kuwapiga risasi n.k.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ulitaka aseme uongo?Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Tumemuelewa! ..sawa!🙏🙏🙏Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
kufanya kwake kazi kunahusiana vipi na kuuza game?Punguza hisia kama akili yako ndogo.Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
La HOVYO KAMA MAGUFURIUshauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.
Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.Kawa mkweli, mwingine angedanganya. Cha muhimu lipeni deni kabla ndege haija pigwa mnada.
Ule uwongo aliokuwa anatengeneza yule mwendakuzimu bado unao kichwani mwako? Kweli wewe kinaniliu.Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.
Mbaazi zikikosa maua husingizia mvua,mshindwe kutimiza wajibu mmsingizie Lissu.Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.
Msaliti na ndio maana Jiwe alitaka kummalizaTundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.