Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ushauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki, kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.