Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki, kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.
Ushauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.
 
Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mrefu
Umesikika.
JamiiForums1844732675_237x306.jpg

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wake ungekuwa unaleta maendeleo chadema ungeshapata maendeleo. Kwa vile ushauri wake ni wa kikuwadi ndo maana chama lake la hovyo hadi leo.
Unaleta sana maendeleo. Ila nyinyi wauaji kila siku unaona jinsi mnavyotumia vyombo vya dola kuzima wanayoyafanya kuwakamata,kuwafunga,kuwapiga risasi n.k.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Ulitaka aseme uongo?
Kwanza amesema hiyo kampuni iliwahi kumtafuta miaka 15 iliyopita ili awape ushauri juu ya uwekezaji katika erdhi Tanzania
 
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Tumemuelewa! ..sawa!🙏🙏🙏
 
kufanya kwake kazi kunahusiana vipi na kuuza game?Punguza hisia kama akili yako ndogo.
 
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi

Kawa mkweli, mwingine angedanganya. Cha muhimu lipeni deni kabla ndege haija pigwa mnada.
 
Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.
 
Ule uwongo aliokuwa anatengeneza yule mwendakuzimu bado unao kichwani mwako? Kweli wewe kinaniliu.
 
Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.
Mbaazi zikikosa maua husingizia mvua,mshindwe kutimiza wajibu mmsingizie Lissu.
 
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Msaliti na ndio maana Jiwe alitaka kummaliza
 
Back
Top Bottom