Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Hamna kitu kama hicho wewe. Huyo anajua anachofanya. Na wajanja wanamwelewa,maboya tu ndo hawamwelewi.
 
Unasema?
 
Anafeli sana, matusi ya nini, lete sera watu wakupigie kura, ama kweli Lissu Ni mwana midaharo
 
Mwalimu Nyerere hakukosea kamwe kumuita Nduli Idd Amin MSHENZI na MWENDAWAZIMU, duniani kote ma Dikteta kama JPM wana akili za hovyo sana.
Mkuu Lisu wako hata pata hata 20% ya kura!

Subiri oktoba
 

Amechokoza nani na vipi mkuu, hebu tusaidie.
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Nadhani kampeni bado hazijaanza. Zikianza nadhani wagombea wote wataanza kuingia uwanjani kwa mtanange tutayasikia yale tutarajiayo.

Kuna mmoja nimemsikia ataipeleka bahari ya hindi Dodoma. Inafurahisha.
 
Hili ndio linalihitajika kwa sasa. Tangu 1995, kule Zanzibar Maalim anaibiwa halafu ananyamaza. Mzunguko wa wizi unaendelea. Hauwezi kupata haki yako kwa CCM mpaka uidai hata kwa damu.

Hawataiba tena znz. wajaribu waone kama znz hakutawaka chemchem za ..... wafanye waone. anayewaokoa ccm na znz isitumbukie ktk machafuko ni maalim seif ndo maana nasema mara hii maalim seif afungwe plasta ya mdomo awaachie vijana wafanye kazi ya kulinda kura. huyo ZEC chair asije akathubutu kupora haki ya maalim seif. atatafuta pa kukimbilia.
 
Kwahiyo moja ya agenda ni
Kuzuia kuuawa yeye na wengine
 
Ni Ni yeye 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…