Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.

Nenda kwenye mkutano wake ukasikie yote anayosema, sio ukaea hapa usubiri kusikia alichosema kama umetuma muandishi wako. Hapa kila mtu anarusha kipande atakacho na sio utakacho ww.
 
Amechokoza nani na vipi mkuu, hebu tusaidie.
Muhimu yeye mwenyewe keshamskiliza IGP jana kwamba muda wa mikusanyiko bado lakini ameamua kutokutii na lugha anayotumia ya kuhamasisha utovu wa sheria ameonywa kuacha lakini asikii.
 
Nilishakuambia uza ubongo huo maana unakao nao kwa hasara.
 
Ewe jasusi wetu mahiri umejuaje kuwa USA na UK wameshajiweka tayari?

Au una kampuni binafsi ya ushushu?
 
Nilishakuambia uza ubongo huo maana unakao nao kwa hasara.
Haya na mimi nakwambia Lissu atashindwa uchaguzi. Baada ya hapo ataendelea kupapatika kaonewa na kujifanya Che Guavera au sijui Mahatma Gandhi; hila mwisho wake utakuwa sio mzuri na asilimia kubwa ya watanzania awatakuwa upande wake.
 
Kwenye mashindano kuna kushinda na kushindwa, hakuna mwenye tatizo na kushindwa kihalali. Sio asilimia kubwa ya watanzania, sema wanaccm wengi hawatakuwa upande wake.
 
Kwamba alijipiga risasi 38 au 16 na kuichafua inchi???...
 
Ccm walikusanyika, na jumamosi watakusanyika tena. ACT huko Zanzibar wanakusanyika mbona huliilii? Hapa kinachokusumbua Ni wivu wa kisiasa, hukutarajia apate watu, ndio maana unakuja na vitisho uchwara.
CCM wanazindua nyimbo zao na watakuwa wameomba kibali ata ACT watakuwa wanaomba vibali huko Zanzibar vya one off.

Lissu yeye kaamua kuanza kampeni rasmi sio ivyo tu na kuhamasisha uvunjifu wa sheria, watu wachukue hatua mkononi. Wanao mdanganya wanajua huko ni kushika masharubu ya vyombo vya ulinzi.

NEC wameshatoa maelezo hakuna mtu kukosa form ya ubunge na udiwani. Mkurugenzi atakaefanya mtu akose form ya uchaguzi mkuu watamshugulikia, lakini Lissu bado tu anatafuta ugomvi na kila mtu.
 
Muhimu yeye mwenyewe keshamskiliza IGP jana kwamba muda wa mikusanyiko bado lakini ameamua kutokutii na lugha anayotumia ya kuhamasisha utovu wa sheria ameonywa kuacha lakini asikii.
Kwani mnapokusanyika kanisani na misikitini huwa mnapata kibali cha IGP ?

Au bado tu unaamini kuwa kukusanyika ni kosa kisheria,hata kama nitampinga Lisu,ila sitopinga suala la yeye kuishi wala sitopinga suala la yeye kufanya siasa,ni uhuru wake kufanya siasa na kutoa mawazo yake,kama ataongea uongo basi uongoi huo ujibiwe.

Mbali na siasa,Lisu ni mtu mwenye maisha yake ambayo wengi wanamtegemea ili wale,walale,wasome shule na watatuliwe matatizo mengine kama ilivyo kwako wewe ambae una watu wanakutegemea.
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Nimeuliza humu Leo hivi kwa speech hizi anategemea kweli ataandikwa na magazeti au television kutoa kwenye habar zao Ayo Mambo anayozungumzia!
 
Kwenye mashindano kuna kushinda na kushindwa, hakuna mwenye tatizo na kushindwa kihalali. Sio asilimia kubwa ya watanzania, sema wanaccm wengi hawatakuwa upande wake.
Lissu kwenye kichwa chake amesha shinda tayari. Kwa ivyo asiposhinda amezulumiwa tu.

The guy needs help
 
Kwamba alijipiga risasi 38 au 16 na kuichafua inchi???...
Ndio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…