residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Maafisa ubashiri naona mmehamia kubashiri ya Lissu na wote mmepigwa chini.anajitoa chadema anahamia ccm
IlborouDarasa lipi ulisoma na lissu wewe burulla
Cha ajabu ni kuwa Mbowe hajatangaza kuwa ana nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti. Lakini kitendo cha Lissu kufanyia mkutano Mlimani kinanikumbusha Slaa na Serena. Mtihani uliopo mbele yake ni kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto yake bila kukivuruga chama anachosema bado anakipenda. Wasiwasi wangu ni kuwa inaelekea kuwa ameanza kuamini kuwa yeye ndie Mkombozi wa CDM na hivyo itatumika kumtumia kukivuruga chama chake hata kama hilo sio kusudio lake. Inabidi atumie busara sana. Huu mwanzo wake haunipi matumaini makubwa.
Amandla...
Bila shaka ni mkubwa sana kwangu ila sina budi kusema kwa ulichokiandika hapa, There is no way that you're better than him. NO WAYHe is dong worse in politics coz there is a saying that if you do good in class, you are likely to do good also in all aspects. The fact that Lisu did bad in class, there is no miracle for him to do good in politics. These things are sequencial and simultaneous
Figisu hazipo ndani ya CHADEMA, haiko compromised hivyo ndio maana uliona Msigwa aling'oka na akakimbia chama na chaguzi za kanda zimeenda bila malalamiko wala figisu ndio maana Msigwa kapagawa.Hata za ndani ya chama just wait utaona figisu zake,
Utaona watu wapya wanavyoongea na vyombo vya habari kila siku
Mbowe Hana msimamo, na ni mtu ambae anashaurika
Ila lissu ni mgumu kushaurika siku akisema maandamano basi yeye atakuwa wa kwanza kuwa front
Aliogopa the unknown tu. Lakini lisu kilaza haswaa mi ndo namjua mana nimesima nae
Muulize yeye mwenye myu anayeitwa Juma. Ananijua sana mana nilikuwa namburuza
Aaaaaa sasa hiyo sio nidhamu kwa Makamu Mwenyekiti. Kwasababu darasani ulikuwa mbele yake ndio kiwe kipimo kwamba wewe sasa ni mwenye akiri nyingi? Na waliokuwa mbele yako je?Tumemchoka. Kwanza hana akili kabisa. Darasani nilikuwa nambuluza O level and A level. Kilaza haswaaa
Wachagga mtateseka sanaCha ajabu ni kuwa Mbowe hajatangaza kuwa ana nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti. Lakini kitendo cha Lissu kufanyia mkutano Mlimani kinanikumbusha Slaa na Serena. Mtihani uliopo mbele yake ni kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto yake bila kukivuruga chama anachosema bado anakipenda. Wasiwasi wangu ni kuwa inaelekea kuwa ameanza kuamini kuwa yeye ndie Mkombozi wa CDM na hivyo itatumika kumtumia kukivuruga chama chake hata kama hilo sio kusudio lake. Inabidi atumie busara sana. Huu mwanzo wake haunipi matumaini makubwa.
Amandla...
Gentleman ni kama unamwogopa lisu zaidi kuliko Mbowe?Puppet ana mikwara sana japo ni mnyonge na anatia huruma sana kupambana na chairman wake 🐒
Kwa uwezo wake na anavyoungwa mkono angeweza kujiinua but yuko chini sana, hajikweziMambo ya ajabu. Mpaka muda huu Lisu kawa mvumilivu Sana. Nafikiri huu ndio wakati wake sahihi, hakuna muda mwingine