Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
W
anajitoa chadema anahamia ccm
Maafisa ubashiri naona mmehamia kubashiri ya Lissu na wote mmepigwa chini.
Taifa lina vijana wa hovyo wa kupenda kubashiri bashiri badala ya kuacha wakati uongee.
 
Cha ajabu ni kuwa Mbowe hajatangaza kuwa ana nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti. Lakini kitendo cha Lissu kufanyia mkutano Mlimani kinanikumbusha Slaa na Serena. Mtihani uliopo mbele yake ni kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto yake bila kukivuruga chama anachosema bado anakipenda. Wasiwasi wangu ni kuwa inaelekea kuwa ameanza kuamini kuwa yeye ndie Mkombozi wa CDM na hivyo itatumika kumtumia kukivuruga chama chake hata kama hilo sio kusudio lake. Inabidi atumie busara sana. Huu mwanzo wake haunipi matumaini makubwa.

Amandla...
Few months ago, I told you what could happen, yet you became stiff necked.​
 
He is dong worse in politics coz there is a saying that if you do good in class, you are likely to do good also in all aspects. The fact that Lisu did bad in class, there is no miracle for him to do good in politics. These things are sequencial and simultaneous
Bila shaka ni mkubwa sana kwangu ila sina budi kusema kwa ulichokiandika hapa, There is no way that you're better than him. NO WAY
 
Nafikiri itakuwa ni jambo jema endapo chama kitabadiri sura ya uongozi wa juu. Binadamu ana tabia ya kukerahishwa na kitu au mtu anachokiona/anayemuona muda mrefu .

Mbowe amefanya mengi mazuri na ataendelea kukipigania chama kwa nafasi nyingine ndani ya chama pamoja na kuwa mshauri wa chama. Ni muda Sasa naye aondoke kwenye nafasi hiyo.
 
Hata za ndani ya chama just wait utaona figisu zake,

Utaona watu wapya wanavyoongea na vyombo vya habari kila siku

Mbowe Hana msimamo, na ni mtu ambae anashaurika

Ila lissu ni mgumu kushaurika siku akisema maandamano basi yeye atakuwa wa kwanza kuwa front
Figisu hazipo ndani ya CHADEMA, haiko compromised hivyo ndio maana uliona Msigwa aling'oka na akakimbia chama na chaguzi za kanda zimeenda bila malalamiko wala figisu ndio maana Msigwa kapagawa.

Hao watu wapya ndio wanaopiga kura ndani ya CHADEMA? Au hivyo vyombo vya habari ndio ballot za kura?

Kukosa msimamo kwa Mbowe kunamzuia nini Lissu kupigiwa kura na wanachama? Mbowe anashaurika kwenye mambo gani na Lissu hashauriki kwenye mambo gani?

Sasa kama Lissu anakuwa front huoni ndio kiongozi anayefaa na anaongoza kwa mifano? Au wewe tafsiri yako ya uongozi au sifa ya kiongozi ni ipi?
 
Sijawahi kuona michango ya siasa bila matusi na kejeli kama bongo
Siasa mbovu sana
Wenzenu wanashindana kwa hoja
Tunataka tusikie mtu anaongelea kutufikisha wapi kuanzia Uchumi, Elimu, Matibabu nk kuliko kuangalia maslahi ya mmoja mmoja
Sio vizuri hebu tubadilike
 
Anayeandika "nimesima nae" ni kilaza kuliko ukilaza wenyewe, hapo sio kosa la uandishi maana hata "nae" si neno halisi la kiswahili la mwenye akili.
Aliogopa the unknown tu. Lakini lisu kilaza haswaa mi ndo namjua mana nimesima nae
 
Mna uhakika kwamba lissu ni mnyaturu? Nimeanza kusoma upya sifa za wanyaturu kumbe hawa jamaa ni majasiri aisee
 
Kwa kura tu lisu hawezi mtoa mbowe maana mbowe bado anaushawishi mkubwa sana ndani ya Chadema na Ccm

Cha msingi ni mbowe asigombee atoe nafasi kwa watu wengne ila tofauti na ivyo ni ngumu nani ndoto lisu kumshinda mbowe.
japo wote tunajua lisu ni bora ila hawezi mshinda mbowe
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: “Kila nilipokuwa nikitaka kung’atuka walikuwa wakiniambia: ‘Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe.’ Nami niliendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo.”

Chawa oyee!!
 
Lisu ametoa mtazamo wake juu ya chama, bila shaka umekaa vizuri sana.

Watu wa CCM wanapenda sana CHADEMA imeguke, jambo ambalo haliwezi kutokea. Mbowe ni kiongozi mwente hekima, hawezi kukubali chama kimeguke eti kwa sababu yeye anataka kuwa mwenyekiti.

Dakika za mwisho kuelekea uchaguzi, CCM watachanganyikiwa watakapoona mambo yanaenda smooth tofauti na matarajio yao.
 
Tumemchoka. Kwanza hana akili kabisa. Darasani nilikuwa nambuluza O level and A level. Kilaza haswaaa
Aaaaaa sasa hiyo sio nidhamu kwa Makamu Mwenyekiti. Kwasababu darasani ulikuwa mbele yake ndio kiwe kipimo kwamba wewe sasa ni mwenye akiri nyingi? Na waliokuwa mbele yako je?
 
Cha ajabu ni kuwa Mbowe hajatangaza kuwa ana nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti. Lakini kitendo cha Lissu kufanyia mkutano Mlimani kinanikumbusha Slaa na Serena. Mtihani uliopo mbele yake ni kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto yake bila kukivuruga chama anachosema bado anakipenda. Wasiwasi wangu ni kuwa inaelekea kuwa ameanza kuamini kuwa yeye ndie Mkombozi wa CDM na hivyo itatumika kumtumia kukivuruga chama chake hata kama hilo sio kusudio lake. Inabidi atumie busara sana. Huu mwanzo wake haunipi matumaini makubwa.

Amandla...
Wachagga mtateseka sana
 
Hata week aijaisha toka aeleze hajawai kuwa na nia yakugombea nafasi ya mwenyekiti wala kufikiria.

Week aijaisha anatangaza kugombea nafasi ya mwenyekiti.

Lissu ni mtu wa kukurupuka sio steady hand kama CDM.

Mbowe anaonekana kupwaya kwa sasa Iła Lissu sio replacement sahihi, ni mtu wa mihemoko ya hisia, kukurupuka na visasi na dictator.

Bora hata Mnyika na Heche, sio Lissu hafai kwa nafasi kwa nafasi ya uenyekiti.
 
Back
Top Bottom