Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila MWamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Mbowe akili kubwa sana Lissu haiwezi !!
 
Mbowe ndiye aliyemuomba Lissu agombee uenyekiti kama huelewi.
Subiri utakuja amini hili siku moja.
 

Time will come na utanielewa

Uchaguzi wa kanda na wa taifa ni tofauti,

Ishu ya msigwa ni Sawa na ishu ya wabunge wa covid 19
 
Upo sahihi mkuu, la kwa siasa za sasa zihitaji mtu rigid kama lisu, na sio busara
 
Dah wewe jamaa ni mjinga mno. Sasa kama Lissu alisoma Ilboru si ina maana alikutana na wakali wenzake ndo wakawa wanamburuza? Mtu wa mwisho darasani Ilboru anaweza kuwa wa kwanza shule nyingi sana za Kata. Shule niliyosoma tukiwa form one mtu wa mwisho alikuwa na wastani wa 60% (C) ambao kwa shule zingine angeingia hata top ten. Lissu angekuwa kilaza asingesoma Ilboru wala UDSM.
 
WanaCCM tunasimama na Mbowe. Huyu Lissu ni kirusi kwenye chama rafiki CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…