Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila MWamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Mbowe akili kubwa sana Lissu haiwezi !!
 
Naona Mh. Lissu kaweza wazi kwba anataka kijipima ubavu na mwamba.

Sasa ni hivi namuona Lissu ACT wazalendo ama CCM ama kustaafu siasa kabisaa.

Tena huo uchaguzi wa yeye na mwamba ikiwezekana usimamiwe na Tume kabisa ili kusitokee mtu apate sababu kama kina sumaye.

CDM bado saana inamuhitaji kamanda wa anga.
Atatusamehe; sababu alizotoa hazitoshi kutushawishi na kumwacha mzee na jabari la siada Tanzania, Africa na hata Duniani.

Kunadilishana uongozi wa juu katika taasisi nyeti kama CDM inatakiwa iwe kwa maridhiano makunwa lakimi si kwa namna hii ni mbaya sana na sidhani Lissu ana nia njema na CDM.
Mbowe ndiye aliyemuomba Lissu agombee uenyekiti kama huelewi.
Subiri utakuja amini hili siku moja.
 
Figisu hazipo ndani ya CHADEMA, haiko compromised hivyo ndio maana uliona Msigwa aling'oka na akakimbia chama na chaguzi za kanda zimeenda bila malalamiko wala figisu ndio maana Msigwa kapagawa.

Hao watu wapya ndio wanaopiga kura ndani ya CHADEMA? Au hivyo vyombo vya habari ndio ballot za kura?

Kukosa msimamo kwa Mbowe kunamzuia nini Lissu kupigiwa kura na wanachama? Mbowe anashaurika kwenye mambo gani na Lissu hashauriki kwenye mambo gani?

Sasa kama Lissu anakuwa front huoni ndio kiongozi anayefaa na anaongoza kwa mifano? Au wewe tafsiri yako ya uongozi au sifa ya kiongozi ni ipi?

Time will come na utanielewa

Uchaguzi wa kanda na wa taifa ni tofauti,

Ishu ya msigwa ni Sawa na ishu ya wabunge wa covid 19
 
Hata week aijaisha toka aeleze hajawai kuwa na nia yakugombea nafasi ya mwenyekiti wala kufikiria.

Week aijaisha anatangaza kugombea nafasi ya mwenyekiti.

Lissu ni mtu wa kukurupuka sio steady hand kama CDM.

Mbowe anaonekana kupwaya kwa sasa Iła Lissu sio replacement sahihi, ni mtu wa mihemoko ya hisia, kukurupuka na visasi na dictator.

Bora hata Mnyika na Heche, sio Lissu hafai kwa nafasi kwa nafasi ya uenyekiti.
Upo sahihi mkuu, la kwa siasa za sasa zihitaji mtu rigid kama lisu, na sio busara
 
He is dong worse in politics coz there is a saying that if you do good in class, you are likely to do good also in all aspects. The fact that Lisu did bad in class, there is no miracle for him to do good in politics. These things are sequencial and simultaneous
Dah wewe jamaa ni mjinga mno. Sasa kama Lissu alisoma Ilboru si ina maana alikutana na wakali wenzake ndo wakawa wanamburuza? Mtu wa mwisho darasani Ilboru anaweza kuwa wa kwanza shule nyingi sana za Kata. Shule niliyosoma tukiwa form one mtu wa mwisho alikuwa na wastani wa 60% (C) ambao kwa shule zingine angeingia hata top ten. Lissu angekuwa kilaza asingesoma Ilboru wala UDSM.
 
WanaCCM tunasimama na Mbowe. Huyu Lissu ni kirusi kwenye chama rafiki CHADEMA.
 
Back
Top Bottom