Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu anatangaza leo kuwania Urais 2025 kwa ticket ya CDM. Sisi watanzania wote tupo pamoja naye lakini tuhakikishe Tume huru ipo huru na sheria kandamizi zotre zitolewe!!
Pamoja sana - wakati wa mabadiliko ni sasa.
 
Back
Top Bottom